Elections 2010 Jamani just a curiousity did the US congratulate Kikwete?

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
58,783
78,453
Naomba kujua wajameni, Obama amemtumia Kiwete salamu za pongezi mbona kuna vacuum ya pongezi toka balozi nyingii za Western World? je wamejua kilichotokea tayari au?
 
Naomba kujua wajameni, Obama amemtumia Kiwete salamu za pongezi mbona kuna vacuum ya pongezi toka balozi nyingii za Western World? je wamejua kilichotokea tayari au?
Masatellite yamewaonyesha jinsi alivyofanya ridging...hawana muda mchafu kupoteza kupongeza umafia!
 
Wenzetu hawana unafiki. wanapoona kuna hujuma hawana muda kupongeza kinafiki. ndiyo maana wapo kimya.
 
Naomba kujua wajameni, Obama amemtumia Kiwete salamu za pongezi mbona kuna vacuum ya pongezi toka balozi nyingii za Western World? je wamejua kilichotokea tayari au?
Wewe unacheza na intelligensia ya Obama atakuchekea leo ukivuruga hakujui kumbuka Kenya walipovuruga viongozi na familia zao wakapigwa stop kupata viza ya USA wakati yeye ni mzaliwa wa Kenya.
 
Umenifumbua macho, NI KWELI hakuna pongezi zozote
 
Labda watatuma pongezi. After all,coronation ya Kikwete imefanyika just a few hours ago.
 
Mkuu Ganesh i bet the western world new Kikwete anarudi madarakani kumbuka BBC walisema hivyo kabla hata kura hazijaanza kuhesabiwa. Wanafahamu mchezo mzima hawawezi kumpongeza kwani yeyote atakayempongeza will be answerable hawawezi kujiponza kirahisi namna hiyo. Mkwere asubiri shutuma zitakazoanza kushushwa ndipo atakapoelewa kwamba hawa watu hawakuwa wamelala usingizi. Balozi si zipo bana wao ndio wangetamka baada ya kuapishwa lakini wanafahamu ni uchakachuaji kwa kwenda mbele.
 
Labda watatuma pongezi. After all,coronation ya Kikwete imefanyika just a few hours ago.
Few hours is not an excuse Mugabe amewezaje kujua leo kuna inauguration ina maana US haina balozi wake hapa.
 
Hivi unategemea White House ya USA itume pongezi kwa MTU ALIYEINGIA IKULU KWA KURA ZA WIZI???No Sir.
Halipo halipo. Labda ingelikuwa wakti wa Walker Bush Jr. aliyekuja akalala Tanzania kwa siku nne akitafuta Uranium na madini mengineyo.

Obama hawezi kufanya upuuzi huo. Anazijua serikali za ndugu zake wa Kiafrika wanavoingia madarakani kwa ubabaishaji kama ilivotokea Kenya mwaka 2007 anakotokea Babake Obama. Hawezi.

Tusubiri maamuzi ya White House baada ya haya.
 
Obama mwenyewe bado ana maumivu ya chama chake cha Democrats kupoteza usukani wa Congress huko kwake. Ana hali ngumu sana uchaguzi unaofuata anaweza kupoteza urais; labda aombe mbinu za wizi kwa Kikwete maana hali inayomkabiri ni kama hii aliyokuwa nayo "mzee wa mvuto" lakini kapeta!
 
Labda watatuma pongezi. After all,coronation ya Kikwete imefanyika just a few hours ago.

Coronation is so monarchical, and monarchies are naturally revolting to all sane modern people. I would say swearing in. Unless you meant that as a pun for Kikwete's sultanic ways.
 
Kama watatuma pongezi itabidi tuanzishe thread ya validity yao ya kuwa observers. Walisema kwenye riport zao kuwa uchaguzi ulikuwa free for some extent but unfair(huru kiasi na usio wa haki). To me quitness is the best thing they can offer for this government
 
Pongezi inatolewa na watu wa huko Ikulu kama hawajatoa kwa wana habari si rahisi kujua lakini kuanzia kesho tunaweza kuanza kusikia pongezi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom