mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 627
Siyo siri jamani! Mwenzenu ninakufa na joto! Joto la safari hii hapa Dar sijapata ona.
Nawaombeni wataalam wa hili jiji la wajanja mnielekeze sehemu ambayo nitaenda kurifreshi
mind. Sehemu ambayo nitapata upepo mzuri wa bahari,vinywaji,lunch na hata dinner.Na hiyo
sehemu nitapenda iwe na usalama,maana nitakuwa na my laptop mkononi na Tsh,elfu 50 mfukoni.
Nawaombeni msaada wenu wapi niende. kijana wenu nimetoka mkoa kwahiyo bado ni mtega nyoka
tu ndani ya Dar!