Jamani jamani Tanzania...Mvinyo wa zamani kwenye Chupa mpya....


Mpelijr

Mpelijr

Member
Joined
May 17, 2010
Messages
89
Likes
12
Points
15
Mpelijr

Mpelijr

Member
Joined May 17, 2010
89 12 15
Tunazidi kushangaa jinsi hali ya siasa inavyoendelea nchini mwetu....hivi hii serikali mpya mbona wengi hatuoni mabadiliko?ni kama tumewekewa mvinyo wa 1960 katika chupa mpya?viongozi wenye madaraka makubwa ni wale wale au watu waliokuwa karibu na waliokuwa...je kutakuwa na mabadiliko kweli?au ndiyo tutashuhudia yale yale ya 2005....ya kubadilishwa baraza la mawaziri kila miezi 6?
 

Forum statistics

Threads 1,236,398
Members 475,125
Posts 29,256,698