Jamani hv hii shida ya mafuta na zanzibar ipo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani hv hii shida ya mafuta na zanzibar ipo?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tanganyika1, Aug 10, 2011.

 1. Tanganyika1

  Tanganyika1 JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 396
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Unajua hii nchi iko kwenye muungano na nchi jirani ya zanzibar. Kuna vitu huwa tuna share kwenye muungano wetu. Sasa nataka kujua kama hili tatizo la mafuta liloko huku bara na kule visiwani lipo? Pi je hili nalo ni swala la muungano? Naomba mwenye majibu anisaidie jamani.
   
 2. M

  Mwera JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Zenj hakuna shida ya mafuta yapo tele,we unakereketwa na zenj tu au unalako?mbona hata mwanza,tabora,shinyanga mafuta yakotele.
   
Loading...