white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,314
- 13,277
Jamani katika watu ambao wamewahi kutokea ktk dunia hii kwenye mchezo wa riadha huyu jamaa ni noma! kwanini kila mala akikimbia lazima aweke record yake?
Kama juzi kwenye mbio amewaacha wenzake mbali sana,na ninakubaliana na wale watu wanaosema kwa sasa ndiye binadamu anayekimbia sana ktk dunia hii,na ndiye aliyempa Christiano Ronaldo uwezo wa kukimbia na mpira kiasi kile, kwa vile ni shabiki wa MAN UTD, na siku moja alisema atamuomba SIR, ALEX, ampange uwanjani.
Na hata ktk mbio za mita 100,ambazo jamaa alitolewa kwenye mashindano kwa kuanza kukimbia kabla ya filimbi kupigwa,watu walisema mengi jamaa ndio zake kuanza mbio kabla hajaruhusiwa. Sasa hapa tena watasema nini?Naombeni wanariadha wa tz mmfuate jamaa huyu, kwani ana mapafu mangapi?
Ana miguu mirefu kiasi ganiTUACHE VISINGIZIO KILA KUKICHA,Mkiwa mnaondoka ooh tumejiandaa vya kutosha ,mnaposhindwa ohoo,hatukuwa na maandalizi ya kutosha!tatizo la nchi hii siasa zimeshaharibu kila nyanja.