Jamani huyu sio mchunga ng'ombe bali ni mwalimu.

Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,956
4,647
10344800_879976732017406_4104981529699876427_n.jpg
 
Duuuuuuuuuuh huyu mwalimu anaenda kuchapa namba,kukagua vidumu,mifagio,mbolea,matete ya kujengea bustani,matofali ya kutengenezea viunga, mabetri,visoda (visude), na soksi.
 
Ooyooo waalimu wa kibongo ni majasili kweli kweli tena wanajitahidi sana lakini hawa thaminiwe tena wana moyo mzito wa kupiga kazi na wakitaka kufurukuta tu basi hapo tena ni virungu na maji ya washa washa na mabomu na hapo tena siyo kosa kubwa ni dogo tu la kukaa kwenye meza kutatua tatizo la posho tu lakini wako beziy
 
mkuu umenikumbusha tangazo la haki elimu yule mwanafunzi wa shule ya awali anasema "mbona nyie mna nafuu, sisi wa awali hatuna waalimu wetu, tunafundishwa na mtu yeyote hata asiye kuwa mwalimu" sasa nikimuangalia huyo mwalimu mwenyewe mbavu zangu hukaribia kuvunjika
 
Nilikuwa nachukia shule sababu ya fimbo kha!halafu kuna mialimu ilikuwa ina sifa hadi kero
 
mkuu umenikumbusha tangazo la haki elimu yule mwanafunzi wa shule ya awali anasema "mbona nyie mna nafuu, sisi wa awali hatuna waalimu wetu, tunafundishwa na mtu yeyote hata asiye kuwa mwalimu" sasa nikimuangalia huyo mwalimu mwenyewe mbavu zangu hukaribia kuvunjika
Yule dogo huwa ananichekesha sana. alafu anaposema maneno hayo anaonekana mlevi ana manati anafundisha.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom