Jamani huyu mama yuko wapi na ushauri wake wa mara moja kila wiki radio 1 kpnd kile?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani huyu mama yuko wapi na ushauri wake wa mara moja kila wiki radio 1 kpnd kile??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LiverpoolFC, May 19, 2011.

 1. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Ndg zangu! Nimemmiss huyu Mama Terry sana ktk kipindi chake cha kila mara moja kwa wiki Radio One,Je? Siku hz yuko wapi?
   
 2. K

  KALABASH JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Ameonekana kwenye kipindi fulani EATV kama siku mbili au tatu zilizopita. Kipindi sikijui maana nilipitia hapo kwa kushitukia tu na sikufuatilia. Waulize EATV.
   
Loading...