Jamani huyu Kafa au ndio yupo Kitandani hapooooooooooooooooooo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani huyu Kafa au ndio yupo Kitandani hapooooooooooooooooooo

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Aug 29, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Brother Michuzi,
  Naitwa Alex Kasengo, nafanya kazi kwenye mgodi wa dhahabu huku kanda ya Ziwa. Wakati wa mapumziko wiki iliyopita nilienda kutembelea kijiji karibu na mgodi huu.
  Baadae nikamkuta huyo mzee kwenye picha kalewa chakari kama anavyoonekana hapo. Pombe sio mbaya ila ukinywa kama maji matokeo yake ndiyo hayo. Naomba uiweke hiyo picha kwenye hii blog makini ili wale wenye tabia kama hizo waache mara moja.

  Kweli Pombe Sio chai
   
 2. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Mwanawane raha jipe mweyewe ,nani anataka bichi
   
 3. m

  matambo JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 728
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  halafu hapo kwenye goti la kushoto pana nini hapo?

  ila wenyewe watakwambia hiyo ndio starehe yake, ha ha haaaaa
   
 4. B

  Bunsen Burner Member

  #4
  Aug 29, 2010
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 95
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Jamaa ana bahati hiyo saa bado wajanja hawajamvua tu!! ndo uzuri wa kukaa kijijini!!! hahahahaaaaaa!
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Aug 29, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  mi mwenyewe nimejiuliza.....
   
 6. B

  Baija Bolobi JF-Expert Member

  #6
  Aug 29, 2010
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 931
  Likes Received: 697
  Trophy Points: 180
  =====

  Ebo! Wamvue kwa nini?
   
 7. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #7
  Aug 29, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Kakunya huyoo.....hakuna kujiuliza preta na we huoni pia????angalia usiige kuaangyka jukwaani na miwani umevaa....si wajua tena:lol:
   
 8. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #8
  Aug 29, 2010
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hiyo habari ulikuwa unaileta kwa wote humu au ulikuwa unampa Michuzi? Ni bora ungemPM.
   
 9. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #9
  Aug 29, 2010
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Masikini usikute mwenyewe anajua yupo home kitandani!!..
   
 10. 2my

  2my JF-Expert Member

  #10
  Aug 29, 2010
  Joined: Jan 30, 2010
  Messages: 289
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapo mwenyewe anaona dunia tambarareeeeee!!!!
   
 11. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #11
  Aug 29, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Halafu hiyo suruali yake mbona kama imefunguliwa.,alifungua mwenyewe kweli au ndio alifunguliwa na wajanja.
   
 12. senator

  senator JF-Expert Member

  #12
  Aug 29, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Anabahati sana huyu ndugu hapa hajamwona angempa kash kash
  [​IMG]
   
 13. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #13
  Aug 29, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  [​IMG]

  nasikia ana kadi ya ccm huyo, siju ni kweli?
   
 14. r

  ramson34 Senior Member

  #14
  Aug 29, 2010
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mzee kaji restisha.kazi kwao vibwengo...
   
 15. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #15
  Aug 29, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Hayo ndio "Maisha Bora kwa Kila Mtanzania!"
   
 16. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #16
  Aug 29, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Tena kwa ari zaidi nguvu zaidi na kasi zaidi
   
 17. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #17
  Aug 30, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  raha za vijijini, ingekuwa manzese sijui
   
 18. M

  Malunde JF-Expert Member

  #18
  Aug 30, 2010
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 311
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Hii imenikumbusha kitabu kinachoitwa my dear bottle.
   
 19. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #19
  Aug 30, 2010
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  amechoka na ahadi za maisha bora kaamua kujipa maisha bora na pombe ya kienyeji, ama kweli maisha yamekuwa magumu bongo
   
 20. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #20
  Aug 30, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0  Hahahahahaaaa huyo popo bawa angemkuta ingekuwa poa maana hatarudia tena kuzima gari, unakunywa pombe mpaka unajinyea duuuu hizi sio pombe kaka.
   
Loading...