Jamani Huu ni Ugonjwa Gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani Huu ni Ugonjwa Gani?

Discussion in 'JF Doctor' started by MaxShimba, Oct 25, 2012.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 2. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 10,615
  Likes Received: 2,411
  Trophy Points: 280
  Mgonjwa huyo nadhani henia.
   
 3. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,290
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Muwahisheni hosptl mapema. Nadhani ana hernia au busha mtoto.
  Very sorry mtoto.
   
 4. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,082
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 0
  Kuvimba Pumbu, inaweza kuwa chochote hata infection si lazima iwe busha au hernia. Mpeleke hospitali.
   
 5. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,597
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  You are right...hiyo ni 'Right Inguinal Hernia'. Kunakuwa na weakness ya misuli inayotengeneza abdominal wall kwa chini huo upande wa kushoto, hivyo inapoongezeka presha kwenye tumbo (intra-abdominal pressure)..utumbo unasukumwa kupitia hiyo sehemu dhaifu na kuingia kwenye mfuko wa pumbu!

  Inatibika, waone maDaktari wapasuaji wamfanyie upasuaji kureinforce hiyo weak abdominal wall (Herniorraphy) na tatizo linakuwa solved.

  NB: Ni muhimu kumfanyia haraka iwezekanavyo kwani kuna kipindi utumbo ukishuka unakwama huko na kusababisha utumbo kuziba (Obstructed Hernia) au hata kuzuia damu kwenda kwenye hiyp sehemu ya utumbo iliyopenya kwanya mfuko wa pumbu na kuiozesha (Strangulated Hernia). Ni vyema akafanyiwa upasuaji kabla haijasababisha matatizo hayo mawili kwani HUUA!
   
 6. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,597
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Hujakosea, ni kweli kuvimba pumbu kunaweza sababishwa na mambo mengi, commonly Hernia, Busha (Hydrocoele), na hata infection. Lakini inabidi uende zaidi ya hapo kujua ni kipi kati ya hivyo. Hiyo ni more likely Inguinal Hernia kwa sababu imevimba tokea kwenye inguinal area, na ni upanda mmoja. Busha na infection hazivimbi inguinal area upande mmoja.
   
 7. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 13,935
  Likes Received: 2,098
  Trophy Points: 280
  Ingekua ya mtoto wa kike ingeonyeshwa ivi?

  Ivi kwanini watoto wa kiume nyeti zao huwa hazithaminiwi hivi?

  Utakuta asubuhi mtoto wa kiume na govi lake anazurula nalo mchana kutwa, lakini wa kike anavalishwa pindi akiamka na akiwa hajashuka kitandani, kwanini double standard?
   
 8. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hapo ni utumbo. Kunakuwa na weakness somewhere na haianzi ghafla. lazima anao muda. Madktr hufanya operation na kuzuia hilo suala. wala sio busha hilo.
   
 9. awp

  awp JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,715
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  pole mtoto, ila akikua dudu yake ni ndogo
   
 10. Mahmetkid

  Mahmetkid JF-Expert Member

  #10
  Oct 25, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 557
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Hydrocell (Busha)
  Kende kujaa maji.
   
 11. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #11
  Oct 25, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 10,617
  Likes Received: 1,469
  Trophy Points: 280
  right inguinal hernia ...! mara nyingi ni common kwa wanaume ..! mpeleke hospital atapona
   
 12. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #12
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,112
  Likes Received: 2,217
  Trophy Points: 280
  Mwanao huyo? Mpeleke hospital fasta....
   
 13. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #13
  Oct 25, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Wakuu wote nashukuru kwa ushauri, Nitamfahamisha mwenye mtoto. Once again, thank you guys for your help and concerns.
   
 14. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #14
  Oct 25, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tatizo linatibika, muwahishe hospital akafanyiwe upasuaji atapona.
   
 15. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #15
  Oct 25, 2012
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 9,571
  Likes Received: 5,004
  Trophy Points: 280
  pole sana mtoto,mpeleke hospital akatibiwe
   
Loading...