Jamani huko TRA/TISCAN kunanini mbona magari yetu yanaoza bandarini

chowder

New Member
Oct 1, 2010
3
0
Wana forum msaada hapa jamani,niliagiza vigari vyangu huko japan baada ya kudunduliza vihela kwa muda mrefu sana.sasa ishu inakuja hapa,gari zimeingia tangu kama wiki imepita sasa ila clearing agent wangu ananiambia eti sikuhizi kuna mfumo wa kuwasiliana kwa mtandao kati ya agent na TRA/TISCAN sio ule wa manualy, sasa muda unaenda hakuna majibu huko kwenye mtandao wa TRAPAD sijui mtanisaidia wataalam wa hayo mambo.Hivi inakuaje hapa si ndio mwanzo wa kuja kulipa storage ambayo wasnt my fault?:sad:
 
Pole sana ndugu, unajua hii serikali haijui kufanya biashara na watu, inaweka mifumo mibaya sana hasa hapo TISCAn ambayo sasa imebaki jina.

Zamani ilikuwa unapopeleka documents zako, bili yako inatoka ndani ya siku 2-4, lakini kuannzia kuanzishwa kwa huo utaratibu documents zinachukua siku 9 na kuendelea ili kupata bili yako, inshort watu wote walioagiza vitu vyao kuanzia mwezi wa 9 mwishoni ni lazima walipe storage, ambayo hawakuipenda regadless umewahije kup[eleka documents zako.

Ubaya zaidi watu wameshalalamika lakini hakuna move yoyote iliyochukuliwa kuondoa tatizo hili, hali inayotishia hali ya biashara ya bandari yetu
 
Asante ndugu yangu Utamaduni,ila kwakweli hii hali haitii moyo kabisa.Why are we starting using systems ambazo we havent even mastered them?then tunalalamika kwamba nchi ni masikini bla,bla,bla..........hivi ni kweli?au tunashindwa kutumia vizuri raslimali tulizonazo kama bandari,kweli kwenye miti hakuna wajenzi.Now I understand why some other people they dont even give a damn kupitisha mizigo yao DSM kumbe shauri ya upuuzi kama huu.
 
Ndugu acha kabisa mm nina mzigo horohoro tangu 3nov sijui lini nitalipa ushuru.nimetembea long room na hiyo pad mpaka nimechoka.wana jf nauliza kwa nini sisi raia ndio tubembeleze serikalini kulipa kodi?kwa nini wasitoe huduma kama ma benki?system yao ina uspecial gani wakati ni ya ku evaluate na kupokea payment records tofauti na ma benki wanalipa pia?
 
jana Congo wametoa tamko rasmi kukusudia kuacha kutumia hii bandari ya Dar wanadai wamelalamika weeee wamechoka na mi headache ya pale

tupitishe cargo Mombasa, eff them Bongo port authority! Hata kama ni kulipa tax kwa Wakenya screw these losers here, they'll get a grip one day
 
Pole sana ndugu, unajua hii serikali haijui kufanya biashara na watu, inaweka mifumo mibaya sana hasa hapo TISCAn ambayo sasa imebaki jina.

Zamani ilikuwa unapopeleka documents zako, bili yako inatoka ndani ya siku 2-4, lakini kuannzia kuanzishwa kwa huo utaratibu documents zinachukua siku 9 na kuendelea ili kupata bili yako, inshort watu wote walioagiza vitu vyao kuanzia mwezi wa 9 mwishoni ni lazima walipe storage, ambayo hawakuipenda regadless umewahije kup[eleka documents zako.

Ubaya zaidi watu wameshalalamika lakini hakuna move yoyote iliyochukuliwa kuondoa tatizo hili, hali inayotishia hali ya biashara ya bandari yetu

jana Congo wametoa tamko rasmi kukusudia kuacha kutumia hii bandari ya Dar wanadai wamelalamika weeee wamechoka na mi headache ya pale

tupitishe cargo Mombasa, eff them Bongo port authority! Hata kama ni kulipa tax kwa Wakenya screw these losers here, they'll get a grip one day

Pale rais anapukuwa msanii na asiyejua kuweka kipaumbele katika mambo ya muhimu na watendaji wanakuwa wabovu kama hivi tunavyoona na hakuna cha maana kinachofanyika. Akiulizwa kwanini nchi yako ni maskini anasema hata yeye hajuwi ni kwanini wakati mianya ya kuikosesha pesa serikali iko mingi na haishughulikiwi. Akiambiwa seriakali itoe elimu bure anasema hatuna pesa wakati pesa nyingi tu zinapotea kwa uzembe na rushwa kwa watendaji wa TRA.
 
majuzi fulani nilitumiwa kifaa fulani kwa njia ya FedEx.........................TRA wameshikilia...........more than 4 weeks now....damn
 
We're doomed!!
One step forward, 5 steps back.
Wat a f**ked up life..
Hakuna ata hope in ths country..kila sehemu uozo
 
ianakatisha tamaa sana hii kitu, vipi ukiingizia mzigo bandari za jirani(mombasa, beira) je tra mipakani wansumbua kama bandarini?
 
mimi natumia MSA long time...pale wako kikazi zaidi...nawashanga nyie bado mnalalamika na mfu...ka'unataka mambo yako yaende fasta, use our northern neighbours. Period
 
Mimi gari yangu ilikaa mwezi mzima pale kwa upuuzi kama huo. Nililipia storage balaaa

Nadhani kuna makubaliano ya aina fulani baina ya watu wa bandari na wale wa storage. Wajue kwamba wanaowakomoa ni Watanzania wenzao na wanaotumia bandari ile ambao wao wanaweza kubadilisha na kutumia bandari ya Mombasa.

Licha ya kujilipa mishahara mikubwa isiyokuwa na kiwango na kwa kutumia kodi zetu (kwani wao hawazalishi cho chote) bado efficiency ni zero!
 
Wana forum msaada hapa jamani,niliagiza vigari vyangu huko japan baada ya kudunduliza vihela kwa muda mrefu sana.sasa ishu inakuja hapa,gari zimeingia tangu kama wiki imepita sasa ila clearing agent wangu ananiambia eti sikuhizi kuna mfumo wa kuwasiliana kwa mtandao kati ya agent na TRA/TISCAN sio ule wa manualy, sasa muda unaenda hakuna majibu huko kwenye mtandao wa TRAPAD sijui mtanisaidia wataalam wa hayo mambo.Hivi inakuaje hapa si ndio mwanzo wa kuja kulipa storage ambayo wasnt my fault?:sad:

Next time, try Mombasa Port if u want to clear within 24 hours. Kisha unalipa ushuru Border Horohoro. Face to face na hakuna longolongo.

Wakati mwingine mifumo mibaya, urasimu na rushwa inatufanya tukose uzalendo.
 
ianakatisha tamaa sana hii kitu, vipi ukiingizia mzigo bandari za jirani(mombasa, beira) je tra mipakani wansumbua kama bandarini?

Vip ukienda na kadi ya sisiem watakuchelewesha? jaribu hiyo. si ndo wao wako madarakani?
 
J3 leo nipo longroom eti system ipo down!tujiulize ni kiasi gani cha pesa TRA inapoteza kwa mtindo huu?jee storage ya bandarini ni haki kweli kuilipa mwananchi ambaye kosa ni la TRA kutoeleza kiasi cha ushuru?
 
Next time, try Mombasa Port if u want to clear within 24 hours. Kisha unalipa ushuru Border Horohoro. Face to face na hakuna longolongo.

Wakati mwingine mifumo mibaya, urasimu na rushwa inatufanya tukose uzalendo.

Kweli Superman, Inauma lakini ndio ukweli wenyewe na nafikiri kwa akili yao hawa ndugu zetu ni lazima wanafanya makusudi ili wapate storage fee, njia mbadala uliyotoa inalipa sana lakini pia hebu jazia na jina la Agent wa Mombasa mwaminifu ambaye anaweza kushughulikia kwa usalama wa wateja wa Tz
 
Bongolala pole sana ndugu yangu,ila hakuna marefu yasiyo na ncha hawa jamaa wanaojifanya miungu watu na kutojali wenzao watakiona.Yani hii mijamaa inaboa sana afu nasikia ni deal flani wanahujumu huo mtandao ili uonekane umefeli warudi kwenye system ya zamani ambako kuna mavuno zaidi.We endelea kukomaa hapo "'WRONG ROOM"" ila usisahau kutupa feedback wadau maana huo msiba sio wako peke yako.:redfaces:
 
wana forum msaada hapa jamani,niliagiza vigari vyangu huko japan baada ya kudunduliza vihela kwa muda mrefu sana.sasa ishu inakuja hapa,gari zimeingia tangu kama wiki imepita sasa ila clearing agent wangu ananiambia eti sikuhizi kuna mfumo wa kuwasiliana kwa mtandao kati ya agent na tra/tiscan sio ule wa manualy, sasa muda unaenda hakuna majibu huko kwenye mtandao wa trapad sijui mtanisaidia wataalam wa hayo mambo.hivi inakuaje hapa si ndio mwanzo wa kuja kulipa storage ambayo wasnt my fault?:sad:

ur a dead man immediately after your born a tanzanian...
 
Nipo tangu asubuhi long room eti system ipo down!jamani tufanyaje hii nchi?kama kuna kero ktk nchi hii tra inaongoza!hatua inayofuata ni kupitisha mizigo njia za bandari za panya kaole mbweni kilwa etc!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom