Jamani housegal wangu.........

Lady G

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
515
130
nawasabahi kutoka moyoni, natumai mu wazima wa afya njema.

Naombeni mnisaidie jinsi ya kumsaidia huyu binti yangu apate ahueni ya mzigo wa mawazo yanayomfanya alie kila cku. Kisa ni hiki.

Nilikuwa nakaa nae ktk mkoa flani,wakati wa likizo nilikwenda nae dar kwa mapumzko. Tukiwa huko alifahamiana na kijana mmoja na akamwambia anataka kumuoa, likizo ikaisha tukarudi mkoa, kwa kipindi chote hcho ckuwa nafahamu chochote, juzi ndg yake toka kjjn, alinipigia na kunieleza kuhsu uchumba wa huyo kjna na huyu binti kuwa tarehe 22.9. Wanapeleka posa, nikasema ouuk. Sasa leo baada ya kutoja job, binti kaangua kilio kikubwa sana nikajua kafiwa.....oooooooh shittt, akanionyesha sms toka kwa mchumbake kuwa hatamuoa tena wazazi wake wamekataa. Binti analiaa atawaambia nn ndg zake hali wanajiandaa kwa trh 22.9. Nimejitahd kumshauri chozi halikatki. Msaada tafadhali na poleni kwa ujumbe mrefu.
 
jsaudi, hukuwa na sababu ya kuchangia kama hukuwa na chakusema. Masaburi yako. Mmnnxxzzzyy.
 
mwambie mkeo ampe maneno ya faraja. Ni wakati mgumu kwake. Msidharau, ni binadamu pia
 
Maskini this is very sad, wakaka wengine bwana, unajua ndugu mwambie tu atulie Mungu atampa mwingine na mwambie kuwa Mungu kamuepushia jambo pengine angeenda kupata mateso huko,pia msaidie kutunga sababu yoyote hata ya kuwaambia hao ndugu zake kuwa huyo kaka kasafiri ghafla akirudi atawataarifu. mwambie Mungu hakosei,
 
Maskini this is very sad, wakaka wengine bwana, unajua ndugu mwambie tu atulie Mungu atampa mwingine na mwambie kuwa Mungu kamuepushia jambo pengine angeenda kupata mateso huko,pia msaidie kutunga sababu yoyote hata ya kuwaambia hao ndugu zake kuwa huyo kaka kasafiri ghafla akirudi atawataarifu. mwambie Mungu hakosei,

Ni ushauri mzuri, kwani ni dhahiri kuna jambo Mungu anamwepushia, asilazimishe sana, na kwanza inaonekan hawajawahi kuwa karibu kiasi cha kuchunguzaana na kujuana tabia.......
 
Pole sana Lady G. Kweli inabidi tu ujitahidi kumfariji, na mweleze yupo ambaye Mungu amemwandalia! Inawezekana kabisa Mungu amemwepusha na taabu nyingi ambazo angekutana nazo kwenye ndoa hiyo. Naamini baada ya muda atapona.
 
Hiyo ni reaction ya kawaida tu, hii ni kuonyesha kuwa Mental Status yake iko normal, muwe naye karibu asipate mawazo ya kutaka kujidhuru, lakini baada ya muda ata-recover tu na kuendelea na maisha, kwa hali kama hiyo mtu asipo pata mstuko maana yake hana akili timamu,
 
muache alie with time atatulia tu...ila huyo jamaa hatari sana...katangaza ndoa kisa anataka penzi?
 
Hio ni moja ya stage muhimu kila mwenye kupenda kupitia... it makes you stronger in the future... Pole zake...
 
Mpe off kwa leo apumzike kazi, alie mpata machozi yakome.. ata re-cover with time, ila mwambie sikunyingine awe anawashirikisha nyinyi sio kukimbilia kijijini huenda mngeng'amua mapema kwamba jamaa ni li-nyan'au
 
jamaaani wanaume ni wabaaya ona sasa? Ila ushauri wangu umwaambie kuolewa mjini sio rahisi kiivyo arudi kijiji atapata wakumtolea mahari hiyohiyo tarh 22.9 wizauti any prblm
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom