Mathias Byabato
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,020
- 691
Nimeona kwenye blog ya michuzi kuwa TCRA wametoa takwimu na kuonesha kuwa VODACOM ina wateja milioni 10,Zaini milioni 5,tigo milioni 4 nakuwa ya mwisho ina wateja elfu 2 tu.Hivi kuna ukweli juu y ahili?
soma hapa
MICHUZI: VODACOM TANZANIA INATISHA! YAFIKISHA WATEJA MILIONI 10
soma hapa
MICHUZI: VODACOM TANZANIA INATISHA! YAFIKISHA WATEJA MILIONI 10