Jamani hizi Takwimu kutoka TRCA ni za kweli?

Campana

JF-Expert Member
Dec 2, 2008
207
36
Ni wakati mzuri kwa TRA kwenda Vodacom kuchukua hela zetu za kodi kutoka kwa wezi hawa, maana kama wako juu ya Airtel, iweje waliwe kwenye list ya top taxpayers?
 
  • Thanks
Reactions: BAK

tusichoke

JF-Expert Member
Apr 2, 2011
1,312
214
Takwimu hizo huenda ni pamoja na laini zetu mfu za 1999.Iwapo ni takwimu za sasa basi kuna uchakachuaji umefanyika ,lengo ni kuwabeba akina R.A,wasisahau pia kuwa Zenji watu wamwesha tupa SIM CARD zao.
 
Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,618
2,123
Hawana haya kutangaza hayo,ten mil customers alafu kodi mnazidiwa na mwenye wateja 5mill what a shame
No wonder mtandao wenu unajam mara kwa mara
 
BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,515
11,824
Ukweli ni kwamba kila mwenye line ya voda au airtel ana tigo!line za voda watu wengi hawazitumii labda hii strategy ya kulazimisha mteja wa mpesa kuwa na line ya voda
 
Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,538
5,646
Wateja millioni kumi lakini kodi hawalipi. Vodacom pumbafu zao,
 
Lokissa

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
7,442
2,467
takwimu hizo zimechakachuliwa tu kwani michuzi huyo huyo ndio alituwekea picha ya kuchakachua ya kuzama kwa meli akidai ndio yenyewe, kama aliweza hivo atashindwaje kuchakachua hizo takwimu ili kuwabeba voda kwani ndio wadhamini wa blog yake.unless kama TCRA wametoa newsletter kuhusu hizo takwimu, najua watu wengi walio voda wana line za tigo,hapo ndio napata mashaka.MATHIAS ukiwa mwandishi wa kuheshimika hebu fuatilia taarifa hii kwa kina afu utujuze zaidi
 
Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,216
1,651
Me Voda siipendi na sijui kama nitakuja kuipenda! kwani huwa hawana huruma kwa wateja wao, Ndugu yangu hata mtu akinibeep kwa nambaya Voda Huwa napata hasira hapo hapo.

Voda ni kampuni ya dhurma na hata kuanzishwa kwake kutakuwa ni kwa dhurma dhurma tu itakuwa ni kama Dalali kwani Dalala huwa hasaidii zaidi ya kutafuta pesa anaweza kukuuzia hata mwanao

Vodacom hailipi Kodi sawasawa...
 
uporoto01

JF-Expert Member
May 23, 2008
4,718
1,379
takwimu hizo zimechakachuliwa tu kwani michuzi huyo huyo ndio alituwekea picha ya kuchakachua ya kuzama kwa meli akidai ndio yenyewe, kama aliweza hivo atashindwaje kuchakachua hizo takwimu ili kuwabeba voda kwani ndio wadhamini wa blog yake.unless kama TCRA wametoa newsletter kuhusu hizo takwimu, najua watu wengi walio voda wana line za tigo,hapo ndio napata mashaka.MATHIAS ukiwa mwandishi wa kuheshimika hebu fuatilia taarifa hii kwa kina afu utujuze zaidi
Hata siku moja mahesabu hayaendagi hivyo eti 10m,5m,4m si inatakiwa 10,213,695 au 5,967,101 ,Michuzi mzushi tu juzi aliporudi yule mshiriki wetu wa Miss Universe kadai eti alifika Fainali(top 16).
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom