Jamani hizi supplementary kwa finalists UDSM zinatutesa

Mkuu inaonekana hujawahi kusoma vyuo vya hapa hujui kinachoendelea mule ndani......hakuna wahuni mafisadi,mabazazi kama walimu wa Mlimani.....Toa kitu kidogo hasa kwa dada zetu na kama kapigwa buti basi lazima mlijue jiji......
Nahisi huyu Gembe ni mwl hapo hapo UDSM nashangaa sometimes ni mwenye mawazo mazuri lakini somedays akikujibu:eek:,
utadhani mmegombana. Kama nilivyosema si ajabu ni yeye yule yule aliyekukamata. ahahahahahahahahahha
 
Jamani huku mlimani kuna DR mmoja wa Sociology (jina lipo) amekuwa na tabia ya kukamata wanafunzi wengi sana hasa finalists. haina maana hawasomi ila ni kama kuwakomoa tu. mfano mzuri ni mwaka huu kakamata wanafunzi 88 kati ya wanafunzi 190. mimi pia ni mwathirika na nilikuwa nasoma sana kwa kadri ya uwezo wangu. masomo yote nimefaulu vizuri ila yeye tu ndo kanikamata. naombeni tushauriane kwa hili kwani sasa niko mkoani sins kazi, je hiyo naulu ya kuja kufanya supplementary nitapata wapi? maisha yamshakuwa magumu ndugu zangu. aksanteni

There is something wrong with this picture, zaidi ya 50% wameshikwa? Kwenye somo la Sociology?

Either mwalimu hajui kufundisha au hao wanafunzi ni bure kabisa, I don't believe the latter as this is supposed to be UDSM, kufikia hapo maana yake umeruka viunzi fulani kwa hiyo hata kama mtupu huwezi kuwa mtupu kabisa.

Kuna matatizo katika mfumo wetu wa elimu.
 
There is something wrong with this picture, zaidi ya 50% wameshikwa? Kwenye somo la Sociology?

Kuna matatizo katika mfumo wetu wa elimu.
Kila mtu analijua hilo swali ni kwamba una suluhisho gani bora au unashauri nini?????
 
Dogo kaambiwe aende mzumbe au Tumaini ili asipate sup na zidi apate first class. Tumaini hata ukiwa kilaza unapata first class
 
Dogo kaambiwe aende mzumbe au Tumaini ili asipate sup na zidi apate first class. Tumaini hata ukiwa kilaza unapata first class
Graduates wa LLB Tumaini ndio wanaopewa kipaumbele kwenye soko la ajira tanzania......kalieni hayo hayo ya UDSM ndio elimu bora ilipo wenzenu "vilaza" wanawapigeni bao
 
Shule ya mzumbe na Tumaini hamna kitu.
From what bases do you argue this? Have you ever come across any alumn from Tumaini and evaluate his or her performance at work places? Can you please, give examples if any, of any employer who has complained about the bad performance of any former Tumaini student? As I ask these questions I remember a Chinise proverb which says, "No research, no right to speak." Does this proverb in anyway speak to you?
 
MIMI nilishindwa kumjibu sababu ni wale wale wa the only University in Tanzania. anaway DIT wamegundua transformer ya kugundua wezi wa mafuta yake, Tumaini, malecturers LL.B hawafundishi UDSM sababu maslai, wanashinda tumaini kama part time, BAF ya Mzumbe, na LL.B yao sasa hivi ifanyie research.

halafu kuna Dr. Karamagi wa economics pale Mlimani anakamata sana. wakimlalamikia anawaambia kuwa yeye mwenyewe hesabu zilizomo amezifundisha miaka 25 na bado hazielewi, sembuse ninyi mtazielewaje ndani ya mwaka mmoja?

THAT'S IT
 
Gimme a break......huyu kiazi kawa mwalimu pale?

Mjomba Yo Yo mbona huyu Dogo Misanya ni Mwalimu tu pale zaidi ya mwaka sasa!! Yuko Dept ya Sociology... sifahamu uwezo wake lakini nachelea kusema kuwa sidhani kama ni mzuri kiasi cha kubaki pale hasa ukizingatia darasa alilomaliza nalo first degree navijua vichwa vyake!!
 
safi sana. hawa ndio wanaowaharibu vijana wetu kwa kuwapa vichwa maji eti hoo. ninyi ni bora kuliko wa Tumaini na Mzumbe hata kama hawastruggle? hayo ni mauaji Bwana Yo Yo.

nipe na habari za DISSofficerrec.
 
Mlimani kingeweza kuendelea kuwa chuo kikuu bora kama huu ujinga wa kina Mukandala na wenzie wa kuingiza siasa kwenye mambo ya msingi usingekuwepo. Siku hz hata enrollment imekaa kisiasa siasa. Wewe Professa mzima, ana-admit wanafunzi wengi kushinda uwezo wa vyumba vya madarasa na hata vyumba vya kulala..!! Then mwalimu mmoja anapewa wanafunzi zaidi ya 600 awafundishe, awatungie mtihani na kuisahihisha at par, sijui ni kutegemea output gani kama sio kukamatwa kwa kwenda front.Then wanakaa mbele ya wananchi na kudai kuwa, serikali imejitahidi kuongeza idadi ya wanafunzi katika chuo kikuu cha DSM. Huu sijui niuite ni ufisadi au...???

Pia kuna tatizo la waalimu. Kitendo cha kupenda kuchukua watu waliokuwa na alama za juu na kuwafanya malecturer bila hata kuwapeleka kozi za ualimu ndio matatizo mengine kama hayo ya kukomoana bin kuharibiwa kwa dada zetu yanazidi. Wewe mabrazameni wamesoma vidigrii viwili, then leo unawafanya walimu wa mabinti warembo wa Sociology, huku hujawapeleka kozi ya ualimu ili awe na maadili ya kialimu, unategemea nini kama sio dada zetu kuharibiwa...???

Huyo Karamagi, yeye si mwalimu by profession, na alipaswa kupelekwa kozi ya ualimu as well. Na ndio maana anazidi kuwa na hasira kwa wanafunzi. Ni ukweli kuna walimu wa UDSM hawajaenda hata kozi ya ualimu but wanaweza kazi, ila hii inatokana na utashi au personality ya mtu mwenyewe. Kwa mfano waalimu kama Dr. Ame, au Dr. Assad. Hawa hawajaenda kozi ya ualimu, but they know what they are doing. Ila sasa hawa nao ni wachache, hivyo conclusion inabaki pale pale kuwa walimu wa mlimani wapelekwe kozi ya ualimu ili wawe na maadili ya kialimu.

Maoni yenu wana JF..!! Manake nafikiri hili pia linachangia sana kuporomoka kwa kiwango cha UDSM..!!
 
kawaida mwadhiri chuo kikuu, msaada wake kwa mwanafunzi ni 15% na zinazosalia unajitafutia, JE, huko inakuwaje?
 
Supplimentary ni mitihani ya kawaida tu! kaka anahaha kwa sababu amezoea kufaulu tangu aanze shule. Halafu anazungumzia sup. mia moja na ushee wakati EC 216 (Intemidiate microeconomics I)na EC 226 Intermidiate microeconomics II) unazungunzia sup 290 na 400's respectively (Dr. Karamagi na Prof. Osoro)!
Hayo ndo maisha, but i know the grounds for your complains!
 
Kwa kweli,mara nyingi lecturers wanatunga paper za kukomoa watu;na mara nyingi utakuta hapo kuna mtu au watu anataka kuwalositisha.
Kitu kingine ni kwamba tunafundishwa kujibu mitihani na ukitaka kusoma kwa kuelewa ili uje kufanya kazi vizuri hapo baadaye ya kumaliza shule yako;kitakacho kukumba hapa ni kufeli au kufaulu kwa alama za chini.
Halafu,ilishawahi kutokea lecturer mmoja kutoka Uholanzi alikuja kufundisha UDSM kwa utaratibu wa exchange programme;cha ajabu hakumaliza muda wake akafukuzwa baada ya kupewa lawama na mkuu wa idara husika eti tangu yeye aanze kufundisha hilo somo imeonye wanafunzi wanafanya vizuri kuliko ilivyo kuwa hapo awali!Jamaa akamjibu inamaanisha ninaeleweka vizuri;mkuu wa idara akasema tatizo lako unawapa wanafunzi mitihani laini;jamaa akajibu taaluma hiihii ni nayo wapatia kule kwetu ndiyo tunayotumia kutengenezea ndege na kurushia pia.Sasa na shangaa unavyonitolea shutuma kuwa na toa mitihani rahisi.
Haya mambo kama hayo,unategemea wanafunzi kweli wasifeli?Ili kunusurika na hali hiyo,wanafunzi watalazimika kusomea mitihani tu ili waweze kufaulu vizuri na siyo vinginevyo.
 
Kila mtu analijua hilo swali ni kwamba una suluhisho gani bora au unashauri nini?????

Ukijua kusoma jibu lako lipo katika post hiyo hiyo.

Mfumo wa elimu Tanzania umejengwa katika system ya "exclusivity". Mwalimu wa Sociology hana incentive ya kukupasisha, ana incentive ya kukufelisha kwa sababu.

1. For some reason mwalimu anayefelisha wengi ndiye anaonekana mzuri.Kwamba somo lake "gumu" na ni vipanga tu ndio wanaweza kupasi.Wakati ukweli ni kwamba ukifelisha watu zaidi ya 50% wewe mwalimu na mfumo wako wote inabidi mji re-evaluate.I was typing this while Kiuyajibu was typing the above post, baada ya kupost naona tumeandika swala moja, kwamba mwalimu anayefelisha anaonekana anafanya vizuri kuliko mwalimu anayepasisha.Kiuyajibu ameweza hata kutoa mfano wa Mholanzi, lazima alichoka na system yetu.Vizee vinaogopa kuondolewa.

2. Kutokana na exclusivity yetu, na ufinyu wa ajira, priofession zinakuwa ni kama "guild" fulani.Walimi hawataki watu wengi wapasi halafu kuje kuwa na competition kubwa katika industry, tena wengine wanaona vijana wanakuwa wakali kuliko wao wanaona ni bora wawe na pre-emptive strike.

Having said that a good number of the 50% ni watu wenye matatizo ya lugha and all ambao somo kama Sociology ukiwa Maimuna unashindwa hata kufeki inakuwa mambo si mambo.Lakini naamini michujo ya form 4 na six imewaondoa wengi hawa na hata waliobaki wanaweza kuboronga tenses lakini wakabaki na mantiki.Sasa hapa ndipo inategemea Prof ni strict kiasi gani, anaweza kumlima mtu kwa sababu ya lugha very fairly, lakini wengine wanaweza kusema mtu kama ana point na matatizo ya lugha anapeteshwa.

Tunahitaji ufumbuzi kwenye mfumo mzima wa elimu, kuanzia na kuandaa uchumi utakao consume hii elimu.Ikiwa kuna projects za kiuchumi za kutosha za ku demand wasomi kutakuwa hakuna haja ya kufelishana kwa kuogopa kuzibiana nafasi chache za kazi.

Pia walimu wanahitaji kuwa monitored na reviewed more closely.Sina uhakika kama walimu wanakuwa reviewed na wanafunzi UDSM.lakini ni muhimu.

Halafu mfumo wa elimu unahitaji kumuandaa mtu kuongea na kuandika kiingereza tangu madarasa ya chini kabisa ili akifika juu hili swala lisimtatize.

Kuna maswala mengine pia, kama culture nzima ya usomi na usomaji, kuthamini watu, empathy, principle, equanimity (which would call for a curve in this particular case) and the likes.
 
Kwa kweli,mara nyingi lecturers wanatunga paper za kukomoa watu;na mara nyingi utakuta hapo kuna mtu au watu anataka kuwalositisha.
Kitu kingine ni kwamba tunafundishwa kujibu mitihani na ukitaka kusoma kwa kuelewa ili uje kufanya kazi vizuri hapo baadaye ya kumaliza shule yako;kitakacho kukumba hapa ni kufeli au kufaulu kwa alama za chini.
Halafu,ilishawahi kutokea lecturer mmoja kutoka Uholanzi alikuja kufundisha UDSM kwa utaratibu wa exchange programme;cha ajabu hakumaliza muda wake akafukuzwa baada ya kupewa lawama na mkuu wa idara husika eti tangu yeye aanze kufundisha hilo somo imeonye wanafunzi wanafanya vizuri kuliko ilivyo kuwa hapo awali!Jamaa akamjibu inamaanisha ninaeleweka vizuri;mkuu wa idara akasema tatizo lako unawapa wanafunzi mitihani laini;jamaa akajibu taaluma hiihii ni nayo wapatia kule kwetu ndiyo tunayotumia kutengenezea ndege na kurushia pia.Sasa na shangaa unavyonitolea shutuma kuwa na toa mitihani rahisi.
Haya mambo kama hayo,unategemea wanafunzi kweli wasifeli?Ili kunusurika na hali hiyo,wanafunzi watalazimika kusomea mitihani tu ili waweze kufaulu vizuri na siyo vinginevyo.

hao ma prof wenu wanatisha
Si niliwahi kuwaambia UDSM wanadumaza elimu miezi sita iliyopita mkabisha.Haya sasa
 
huyo dr ana la kufanya na wala sijui km dr kazi yake ni kukamata bali kufundisha akaeleweka ili kutujengea taifa zuri la kesho hasa la leo hivyo haiwezi kuwa credit kwa dr huyo
 
mtashangaa! wale wazee walionifundisha pale uclas juzi nilikuwa pale bado wamo tu! hawataki kustaafu. lakini dogo someni acheni ubawazazi kwa kuwa ninapopita yale maeneo ya chuo nikiangalia mnavyovaa, na mnavyochangamkia unywaji sijui kama mtapona miaka hii, afadhali na supplementary, manake wengine nasikia wanakwaa na mawaya humo humo
 
Jamani huku mlimani kuna DR mmoja wa Sociology (jina lipo) amekuwa na tabia ya kukamata wanafunzi wengi sana hasa finalists. haina maana hawasomi ila ni kama kuwakomoa tu. mfano mzuri ni mwaka huu kakamata wanafunzi 88 kati ya wanafunzi 190. mimi pia ni mwathirika na nilikuwa nasoma sana kwa kadri ya uwezo wangu. masomo yote nimefaulu vizuri ila yeye tu ndo kanikamata. naombeni tushauriane kwa hili kwani sasa niko mkoani sins kazi, je hiyo naulu ya kuja kufanya supplementary nitapata wapi? maisha yamshakuwa magumu ndugu zangu. aksanteni

Pole sana Ila kusoma sana sio sababu ya kufaulu, unaweza kuwa ulikuwa unasoma sana magazeti ya udaku badala ya relevant material. Pia hutakiwi kuwa na haraka na kukariri, fikiria mitihani ipo ili kupima uwezo wa kufikiri na si ku memorise, Pia fanya proof lead ukimaliza kuandika mtihani sio unakimbilia kutoka nje na kusheherekea umemaliza shule, usifanye makosa kama uliyofanya hapa kwenye kuandika thread, fanya kazi. Kusoma ni kazi sio kuendekeza kusuka nywele/ au kufukuzia freshers kwa ticket wewe ni finalist.
 
Back
Top Bottom