Jamani hizi supplementary kwa finalists UDSM zinatutesa

Jamani huku mlimani kuna DR mmoja wa Sociology (jina lipo) amekuwa na tabia ya kukamata wanafunzi wengi sana hasa finalists. haina maana hawasomi ila ni kama kuwakomoa tu. mfano mzuri ni mwaka huu kakamata wanafunzi 88 kati ya wanafunzi 190. mimi pia ni mwathirika na nilikuwa nasoma sana kwa kadri ya uwezo wangu. masomo yote nimefaulu vizuri ila yeye tu ndo kanikamata. naombeni tushauriane kwa hili kwani sasa niko mkoani sins kazi, je hiyo naulu ya kuja kufanya supplementary nitapata wapi? maisha yamshakuwa magumu ndugu zangu. aksanteni

Ushauri wa bure ni wew kwenda kufanya hiyo sup.Vijana wa siku hizi mnaruka ruka na kuadika upuuzi mtupu,hoja mbovu zisio na msingi.Muache kutumia Madesa na muanze kusoma Vitabu..

Pole sana.
 
Dogo ni nani Huyo Mwami au Moze?.Tatizo lenu hamjiulizi kwa nini mimi nimekamatwa mwingine akaachwa???......

Maswali yangu kwako ni mawili tu.
1.Je Mwalimu huyo kuna watu anaowapendelea kiasi cha kufikia kukamata Idadi fulani tu ya watu na wengine kuachwa?
2.Je somo hilo ni gumu sana au Mwalimu huyo uwezo wake kufundisha na kuwafanya mpate weledi wa somo lake ni mdogo.....?
 
Pole sana kijana>Kaza buti usome kwa bidii uongeze juhudi na maarifa.
 
Pole kwa yaliyokusibu. Kama una uhakika ulifanya mtihani huo uliokamatwa kwa umakini na ukawa na uhakika wa uliyoyaandika, ninakushauri upeleke/mpeleke malalamiko yenu kwa chuo UDSM kupitia chama cha wanafunzi DARUSO ili answer sheets za wote waliokamatwa zisahihishwe upya na mshauri hiyo kazi ya kusahihisha upya apewe mwalimu mwingine na si huyo aliyewakamata.
 
Jamani huku mlimani kuna DR mmoja wa Sociology (jina lipo) amekuwa na tabia ya kukamata wanafunzi wengi sana hasa finalists. haina maana hawasomi ila ni kama kuwakomoa tu. mfano mzuri ni mwaka huu kakamata wanafunzi 88 kati ya wanafunzi 190. mimi pia ni mwathirika na nilikuwa nasoma sana kwa kadri ya uwezo wangu. masomo yote nimefaulu vizuri ila yeye tu ndo kanikamata. naombeni tushauriane kwa hili kwani sasa niko mkoani sins kazi, je hiyo naulu ya kuja kufanya supplementary nitapata wapi? maisha yamshakuwa magumu ndugu zangu. aksanteni

Pole sana bwana mdogo,

Sidhani kama hapa ni mahali pake pa kulalamikia.

Njimba
 
Kama mnaona somo hilo linaleta shida yaani sup. zinakuwa nyingi kila mwaka kuliko kawaida, ombeni kupitia seneti ili uchunguzi ufanyike. Kwani kunamambo mengi yanayoweza kusababisha hilo. ambayo ni pamoja na
i) background ya wanafunzi juu ya somo husika
ii) uwezo wa mkufunzi ikiwa ni pamoja na uwepo wa learning materials
iii) muda wa somo (endapo units (credit hours) ni chache na mambo yakusoma ni mengi)
nk

Utafiti unaweza kutoa majibu sahihi ambayo yatapelekea mabadiliko na kutatua tatizo.
 
Kama hutaki Supp. nenda Mzumbe, Tumaini au Meru Universities.

Kwanza utakuwa na uhakika wa !st Class!
 
naona kuna michango ya jazba hapa katika mada niliyowasilisha... ishu ni kwamba supplementary ni za kawaida lakini nature ya mtihani na alama za coursework na majibu ya mtihani hayaendani....halafu hoja ya kusoma vitabu haina nguvu hapa...unaweza soma hata vitabu mia lakini ukachemsha kutegemea na tabia ya lecturer....kuna mambo mengi ya kujiuliza kabla ya kuchangia mada... hivi kama lecturer anawa-degrade toka mwanzoni mwa semister kuwa hamuwezi...what do you expect... nimeweka hii mada kuwasaidia wadogo zetu waliopo na watakaokuja...watadisco halafu mtalia bure na wakati huo anatakiwa alipe mkopo wa bodi...ataenda uza kiamba bure...haya
 
what???

sup sio kipimo cha ufundishaji, au uelewa. ila kama mwalimu anafundisha kwanini amkamate mtoto. na kama mtoto anasoma kweli kwa nini akamatwe.

ila hata huko Mzumbe na Tumaini nako sup zipo. na hapa sio mahali pa comparison, maana tayari tulishaifanya kule nyuma na kufikia mwafaka.

halafu, unataka kusema aache miaka yake mitatu na kuenda kuanza afresh Mzumbe na Tumaini? I wonder on this comment.
 
Tatizo moja mdogo wangu hamsomi. Mnaishi kwa madesa, Kudesa, na zimamoto. Zikija sup 80 wa kumlaumu nani? Vijana hamsomi mnaendekeza sana starehe? Piga shule soma sana vitabu hata mwalimu akiwa na kinyongo hakupati
 
what???

sup sio kipimo cha ufundishaji, au uelewa. ila kama mwalimu anafundisha kwanini amkamate mtoto. na kama mtoto anasoma kweli kwa nini akamatwe.

ila hata huko Mzumbe na Tumaini nako sup zipo. na hapa sio mahali pa comparison, maana tayari tulishaifanya kule nyuma na kufikia mwafaka.

halafu, unataka kusema aache miaka yake mitatu na kuenda kuanza afresh Mzumbe na Tumaini? I wonder on this comment.

Shule ya mzumbe na Tumaini hamna kitu.
 
Mi si nawaambia Ma dogo Kila siku DR Mwami sio kwamba anatunga mitihani migumu.Ni kuwa tu nyie mnamalizwa na historia mliyoikuta ooh Mwami anakamata sana ooh siuji nini!!
 
huyo atakua DR. MWAMI tu, yeye ndo anatabia za kukamatisha watu kusudi yaani yy akisapisha ndo anajiskia freeeeeeeeesh na mkiingia tu ktk kozi yake lzm ajifagilie jinsi alivyo mkamataji
japo mm nimemaliza nyuma kidogo lkn hiyo adha naikumbuka!ila tulikua tunawatumia ma-girl friend zake kutuombea msamaha basi yeye ndo anajiona mjanja
tena anachukua sana vibinti pale ili asikukamatishe, na vibinti vinajigonga sana kwake ili visikamatwe yaani ukiskia sehemu yenye degree za chupi basi ni lie department
samahani mwenye swali lako nyie hamkua na 'samaki' kumpa 'amvue'? wenzenu ndo walikua wanaponea hapo!
tatizo ma lecturer wa UD kwao kukamata ndo wanajisiiifu, alafu wanawaacha watu mambumbumbumbukm kina misanya eti leo lecturer kichwani HANA ALIJUALO KISA ALIPITA KWA KUHONGA HONGA TU!
 
Dogo Sipo.....kwenye Shule Nakuomba Sana "uwepo".
Kwani Unataka Kuniambia Hawo Waliofaulu Hawakusoma Kama Wewe?...au Wewe Ulisoma Nini?....kama Mwalimu Anajifanya Kutunga Pepa Ngumu ..dawa Ni Ndogo Tu...piga Shule Mpaka Ukute Hakuna Tena Cha Kusoma...tatizo Lenu Nyie Madogo Hapo Juu Hamsomi...kila Siku Mpo Kwenye Baa Ya Yule Mmasaai Mweupe Mmekalia Magogo Ya Minazi Na Maboti Mabovu...acheni Utozi Someni Sanaaaa....dunia Yenyewe Kama Hamuioni Ishapoteza Mwelekeo

Shauri Yenu....mtaishia Kulalamika Hovyo....
 
Kama mnaona somo hilo linaleta shida yaani sup. zinakuwa nyingi kila mwaka kuliko kawaida, ombeni kupitia seneti ili uchunguzi ufanyike. Kwani kunamambo mengi yanayoweza kusababisha hilo. ambayo ni pamoja na
i) background ya wanafunzi juu ya somo husika
ii) uwezo wa mkufunzi ikiwa ni pamoja na uwepo wa learning materials
iii) muda wa somo (endapo units (credit hours) ni chache na mambo yakusoma ni mengi)
nk

Utafiti unaweza kutoa majibu sahihi ambayo yatapelekea mabadiliko na kutatua tatizo.
kwa hapa UDSM Mwanafunzi anayefeli mtihani na akiwa anahisi ameonewa ana muda pia wa ku "appeal" hilo somo na kuna utaratibu mzuri tu wa mwalimu mwingine kupitia na kusahihisha upya na hatimaye kubadili matokeo ikidhihirika kuna makosa.
Ni vyema mwanafunzi afuate utaratibu, siyo alalamike tu kuwa chuo sio kizuri. Naungana na wanaosema kuwa usomaji wa wanafunzi wa siku hizi ni wa kivivu vivu, na hasa ule wa kusolve maswali ya "past papers". Hawapendi kusoma na kufikiri na hasa kujifunza "basic principles"
 
Ushauri wa bure ni wew kwenda kufanya hiyo sup.Vijana wa siku hizi mnaruka ruka na kuadika upuuzi mtupu,hoja mbovu zisio na msingi.Muache kutumia Madesa na muanze kusoma Vitabu..

Pole sana.
Mkuu inaonekana hujawahi kusoma vyuo vya hapa hujui kinachoendelea mule ndani......hakuna wahuni mafisadi,mabazazi kama walimu wa Mlimani.....Toa kitu kidogo hasa kwa dada zetu na kama kapigwa buti basi lazima mlijue jiji......
 
wanawaacha watu mambumbumbumbu km kina misanya eti leo lecturer kichwani HANA ALIJUALO KISA ALIPITA KWA KUHONGA HONGA TU
Gimme a break......huyu kiazi kawa mwalimu pale?
 
huyo atakua DR. MWAMI tu, yeye ndo anatabia za kukamatisha watu kusudi yaani yy akisapisha ndo anajiskia freeeeeeeeesh na mkiingia tu ktk kozi yake lzm ajifagilie jinsi alivyo mkamataji
japo mm nimemaliza nyuma kidogo lkn hiyo adha naikumbuka!ila tulikua tunawatumia ma-girl friend zake kutuombea msamaha basi yeye ndo anajiona mjanja
tena anachukua sana vibinti pale ili asikukamatishe, na vibinti vinajigonga sana kwake ili visikamatwe yaani ukiskia sehemu yenye degree za chupi basi ni lie department
samahani mwenye swali lako nyie hamkua na 'samaki' kumpa 'amvue'? wenzenu ndo walikua wanaponea hapo!
tatizo ma lecturer wa UD kwao kukamata ndo wanajisiiifu, alafu wanawaacha watu mambumbumbumbukm kina misanya eti leo lecturer kichwani HANA ALIJUALO KISA ALIPITA KWA KUHONGA HONGA TU!

Taratibu ukweli utajulikana tu,japo kwa wakati muafaka watu hua hawakubali tatizo,tatizo linakubalika wakati usio muafaka na tragedy limeshakwisha tokea na kubaki na majuto tu,sisi tatizo letu hatuna tabia ya kufanyia tuhuma uchunguzi zikiwa za motomoto ili kubaini ni tuhuma za kweli ama la!.
 
Shule ya mzumbe na Tumaini hamna kitu.

kwani mwandishi wa hoja kasema yeye wa tumaini na Mzumbe? stick to the point usitake kudivert hoja yake. swala la mzumbe na UDSM, yalishajadiliwa huko nyuma, refer to various threads on that. yeye anataka ushauri basi.

sasa kama Mu na TU hamna kitu, mbona ulimdirect kule?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom