Nimezisoma millardayo.com, sikuzielewa ,naomba ufafanuzi maana sikuona mahali ambapo zime-cite katiba ya tff, Mara timu zmeshushwa daraja ,Mara watu wamefungiwa maisha,na ajabu kubwa ni kocha msaidizi kuadhibiwa halafu kocha Mkuu,kuachwa. Nipeni juu ya the whole scandal.
NB: Nimeshindwa kuattach hizo hukumu.
NB: Nimeshindwa kuattach hizo hukumu.