Ewaaa nahsi ww upo kwa ndoa salama ushamgundua mumewe huwa anataka niniWanataka UNYENYEKEVU
Mmmmhchura,chuchu,mwanya zote mbwembwe mwisho ni hapo bondeni kilipo kizibo cha asali
Wazifuate huko huko tuuNaona sasa wanataka papuchi mchano
Hizi zinapatikana asia ya kichina thailand singapore malasya nk
Sijajua huku kwetu zipo?
Labda wanataka hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hahaha mkuu kumbka na nyie mpo kwa mara dark tall and hb,mwenye ela,mwenye khofu ya mungu,aliesoma,asie na gubu yaani kote kote shida tupuNdio mkuu.... Kwenye chura mmoo, kwenye chuchu mmoo, kwenye macho mmoo, kwenye mwanya mmoo.... Sasa naona kuna papuchi mtuno namo mmoo sa tuelewe lipi mkuu
Aiseeee njoo kwangu ..nitakuenzi km mtoto mchanga.Jamani naomba wanaume mje hapa... Hivi mungu kakupa mke mwema, mchapakazi, msafi, anajituma, anakupenda na bado huna shukrani. Mungu anawaona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sura mamaJamani naomba wanaume mje hapa... Hivi mungu kakupa mke mwema, mchapakazi, msafi, anajituma, anakupenda na bado huna shukrani. Mungu anawaona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona umeamua kubadili gia angani....Hahaha hahaha mkuu kumbka na nyie mpo kwa mara dark tall and hb,mwenye ela,mwenye khofu ya mungu,aliesoma,asie na gubu yaani kote kote shida tupu
Cha msingi kama mnaendana tu
NB:mwanamke anaweza mbadili mumewe shika hilo
Aiseeee njoo kwangu ..nitakuenzi km mtoto mchanga.
Yes you deserve better , kwa uloyasema hapo juu nisingekua nakingine chakukulipa zaidi ya kukupenda kukujali nakukufanya ujisikie mwanamke mwenye Bahati.
Sure mkuu ,, ujue kwa maelezo aloyatoa hapo juu anasitahili kuenziwa na kupewa malezi sawa na malezi ambayo hupewa mtoto mchanga toka kwa mama yake.
Ahaha leo unanfurahisha mkuuNaona umeamua kubadili gia angani....
Sa mwenye kupenda chura nambadilisha vipi na wakati ananipenda aliona tumacho twangu akasahau sina chura.... Muwe na huruma basi
Tunataka "HESHIMA". Uchapaji kazi, usafi, kujituma, upendo hzo ni ziada tu. Soma vitabu vya diniJamani naomba wanaume mje hapa... Hivi mungu kakupa mke mwema, mchapakazi, msafi, anajituma, anakupenda na bado huna shukrani. Mungu anawaona.
Sent using Jamii Forums mobile app