BOMBAY
JF-Expert Member
- Apr 16, 2014
- 4,682
- 3,392
Unaweza kuwa na sifa zote hizo lakini ukakosa sifa moja kuu ambayo ni UAMINIFU.Jamani naomba wanaume mje hapa... Hivi mungu kakupa mke mwema, mchapakazi, msafi, anajituma, anakupenda na bado huna shukrani. Mungu anawaona.
Sent using Jamii Forums mobile app