Jamani hivi wanaume mnataka nini kwa wanawake?

Shadeeya

JF-Expert Member
Mar 12, 2014
45,132
106,610
Umeshakuja na kanyani kako! Kaambie kaache kunitusi na kaondoe mkono kinywani ili nisikie matusi yake

Kinaanzaje kukutusi jamani. Ukikaona ujue kamefurahi kuona uwepo wako.

Halafu wewe BAK ndio ulinifundisha kukapenda ujue. Inabidi nipunguze kukatumia aisee.
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Akhy D

JF-Expert Member
Jun 10, 2013
361
419
Wacha wee. Umeamua kuandika kidhungu ili tukuelewe kaka ake.
Hapana dadake huu usemi niliukuta mahala lakini nimekosa tafsiri ya kiswahili yenye kuleta maana sawa

*You get what you work for not What you wish for*
 

mwena

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
650
417
Wanawake wivu umezid! Mshaambiwa mwanaume hawezi kua na mwanamke mmoja! Hivyo mtuvumilie tu japo kamchepuko kamoja
 

Shadeeya

JF-Expert Member
Mar 12, 2014
45,132
106,610
Hapana dadake huu usemi niliukuta mahala lakini nimekosa tafsiri ya kiswahili yenye kuleta maana sawa

*You get what you work for not What you wish for*
Hakuna shida kaka ake. Mi nimeuelewa ila sijauafiki.
 

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,909
287,651
Mhhhh! Eti mie ndiye nilikufundisha kukapenda hako katumbili kama hakanitusi kanafurahia uwepo wangu basi endelea kukapenda kwa sana.
Kinaanzaje kukutusi jamani. Ukikaona ujue kamefurahi kuona uwepo wako.

Halafu wewe BAK ndio ulinifundisha kukapenda ujue. Inabidi nipunguze kukatumia aisee.
 

youngkato

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
3,153
2,713
Jamani naomba wanaume mje hapa... Hivi mungu kakupa mke mwema, mchapakazi, msafi, anajituma, anakupenda na bado huna shukrani. Mungu anawaona.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo na nyie hamjakamilika mpo nusu nusu. Unakuta sura nzuri chura hamna, tabia nzuri sura haivutii, msafi ila kitandani hamna kitu.
Hakuna wa kuridhisha 100%
 

Mtalingolo

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
2,182
408
Heshima tuwe tunawapigia magoti kika tukawaona au? Eh

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana sio mpige magoti kila mtuonapo, ile kujua tu kuwa mimi ni mumeo inatakiwa u-behave vipi tukiwa pamoja, hata kama unataka kitu basi jua staili nzuri ya kuomba, sio mwanamke unakuwa mkorofi mpaka mtu unajiuliza nilioa mke au tafrani. ni hayo tu nadhani
 

Ilankunda1234

JF-Expert Member
Dec 28, 2015
4,840
4,707
Jamani naomba wanaume mje hapa... Hivi mungu kakupa mke mwema, mchapakazi, msafi, anajituma, anakupenda na bado huna shukrani. Mungu anawaona.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mfuniko wa pipa unaweza funika garoni la lita tano??

Ukumbuke si kila kwanamke unaeishi nae ni keo,
Na sikila mwanaume unaeishi nae ni mmeo


Mwanaume anatafuta ubavu wake uliochomolewa kutuko moja ya mbavu zake, nadhani hapa ndipo hua kuna tatizo

Mwanaume hupitia kila mbavu anazokutana nazo ili ajipime kama ni ule wake au si wake, sasa kila akipima haufiti ila kakikatibia kidogo tuu anatunza ili akikosa kabisaa azibie hako hako.

Shida anakuja anapoamua kuchukua ubavu wowote akitegemea atauchonga tuu umuenee, hapo ndio matatizo huanza pale unapotaka kuchonga ubavu wa mwenzio
Nadhani umenielewa

Unaweza ukawa mwanamke wa haya yoote lakini wewe si mke wake kwani yawezekana vigezo hivyo yeye hata havimuingii akilini
 

Ilankunda1234

JF-Expert Member
Dec 28, 2015
4,840
4,707
Haha....akili zetu tunazijua wenyewe tu...kama vile nyie mnavyojielewa......tatizo mko wengi mno na kila mtu anauzuri wake unique....ukijitahid mtahani..utakutana na maua mengine kazini, barabarani yaan kila sehemu....sasa hapa mwanaume anaponaje....??Hahaha....na ukiona kaanza kuzingua ujue kuna mtu kachukua temporary nafasi.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Na tulivyopewa akili ndogo ya kukwepa mitego ya akina mama

Mi nauzee huu, unakuta binti anakwambie uzee ni nyakati tuu inshu iko palepale jamani??!!!

Hivi kwa vijana napo inakuwajeeeee???!!!

Niseme ukweli enzi hizo sisi kasumba hizi hazikuwepo kwa kweli
 

Similar Discussions

12 Reactions
Reply
Top Bottom