Jamani hivi ni vitu vya ajabu au mimi ndio sielewi?

Dogo umeenda kukopa kwa muhindi baada ya life kuwa gumu eh? Kakope benki!
 
Siku hizi huwa naziheshimu thread zako, Mara baada ya kuzifamyia kazi nikaona zina work hasa zile za jukwaa la mambo yetu ya 6*6. Natumiaga triek zako kukamata warembo nimekuwa fundi mnooo.
Vipi ile ya dawa ya mswaki, nayo ulii-apply?
 
Tatizo vile wanavyosuasua mpaka wengine utakuta wananifuata niwakopeshe ili wakalipe mkopo(unaona mkanganyiko ulipo?) mpaka naamua kuwasaidia tu.
Ishu inakuja kama wanaweza kujitahidi kurejesha rejesho kila wik(japo kwa kusuasua)
kwanini baada ya mkopo kuisha wasiendelee utaratibu wa kujiwekea kima/kiwango sawa na kile walichokuwa wapeleke kwenye mkopo, na baada ya muda zile hela wakazitumia kwenye hayo malengo yao mengine?? Why why
Okay!
 
Wanavamiwa sana ila hawasemi tu
Conclusively ww point yako ni uchawa huna lolote
Mbona mawazo yako yamelenga kwenye uchawi? Huenda kukawa kuna inteligensia ya kiusalama zaidi ambayo wanatumia
 
Kuondoa wasiwasi ukichukua hela zao, peleka benki au mawakala wa fedha wa simu halafu ukatoe sehemu nyingine utakuwa na pesa za benki sio za Muhindi!
Sasa yale maagano ambayo wanawapa wanachama wao wayasome ni yanini? Huenda ikawa ndio njia ya kurudishana nyuma
 
Siku hizi huwa naziheshimu thread zako, Mara baada ya kuzifamyia kazi nikaona zina work hasa zile za jukwaa la mambo yetu ya 6*6. Natumiaga triek zako kukamata warembo nimekuwa fundi mnooo.
Salute mkuu,
 
Back
Top Bottom