jamani hivi maana ya ''kwepa mishale,

kukwepa mishale ni kukabiliana na matatizo...msemo huo umetoka kwenye msemo unaosema "ukiona nyani amezeeka ujue, amekwepa mishale mingi"
 
Back
Top Bottom