Jamani hivi kwa nini baadhi ya wanyama hawamuogopi mwanamke??

poor

Member
Oct 18, 2013
46
11
HASA nyani, unakuta baadhi ya wanyama hawana hofu wala woga wanapomwona mwanamke hata awe mtu mzima vipi. wanyama wengine ni kama vile mbuzi dume, unakuta beberu anadiriki hata kuchomoa uume wake anapomwona mwanamke. ndipo ninapojiuliza
1.wanawezaje kuwatofaut isha binadam kwa jinsi zao?
2.je wanafahamu kuwa mwanamke ni mtu dhaifu kama tunavyoamini binadamu wengi?

2.na kama wanaamini hvyo,ni udhaifu upi wanaoamini wao?
ni hayo tu.
 
uko pori gan ambalo unaishi na nyani ?
 
Nimewahigi kusikia ila ni kuhusu Ngedere...maana huku nilipo

Ngedere ni wengi sana ila sijui connection iko wapi
 
Pana kaukweli fulani hivi, ngoja kesho niende udsm pale kunangedere wengi na jinsia ya ke inaishi sehem yenye mgedere wengi, nitawaletea shindo nyuma kuondoa utata. mods fungeni kwanza huu uzi hadi kesho
 
nimewakumbuka watani zangu wa ud teh teh darasani na ngedere
 
Nackiaga Tu Ila Cnaiman Juu Yahilo Mamaangu Aliniambia Hakuweza Kusoma Kwakua Alikua Akilinda Nyan Wacle Maindi Shamban Kwaiyo Ciamini Kama Nyan Hamwogopi Mwanamke
 
Back
Top Bottom