Jamani hivi huko jehanamu kuna mateso zaidi ya haya tunayoyapata sasa watanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani hivi huko jehanamu kuna mateso zaidi ya haya tunayoyapata sasa watanzania?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gosbertgoodluck, Jan 24, 2011.

 1. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Wandugu,
  Wazee wa imani zote watujuze, hivi kweli huko kunakoitwa jehanamu kuna mateso zaidi ya haya wanayoyapata sasa watanzania?? Wakati kipato cha mtanzania wa kawaida kipo palepale na wakati mwingine kinadidimia, bei ya bidhaa na huduma za msingi kama afya na elimu inaendelea kuongezeka siku hadi siku.
   
 2. V

  Vumbi Senior Member

  #2
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 191
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mateso ya Tanzania yamezidi ya jehamu kwa sababu jehanamu mateso yake ni sawasawa na matendo yako lakini haya ya tanzania unabeba na ya mafisadi ambayo ni makubwa sana. Kwahiyo mateso unayapata sasa hapa TZ endapo utaenda jehanamu utakuwa na ahueni.
   
 3. jeviounipers

  jeviounipers Member

  #3
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 68
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 15
  mi nahisi siku ya mwisho watanzania wote tutaenda peponi kwa free pass.....maana jehanamu tutakua tumeimaliza hapa duniani
   
Loading...