jamani hivi hiki kinaweza kutokea?

love peace

Senior Member
Sep 10, 2013
130
37
.natumain mumeamka salama,..... Nna rafiki yangu ameolewa na anamtoto mmoja mdogo.Tatzo alilonalo,yeye na mumewake wanatumia condom kama njia kujikinga.lakini bahati mbaya wamejikuta wamefanya mapenzi bila condom.na zilibaki siku mbili aingie bleed. Je?anaweza kupata mimba coz anaogopa kutoa mimba na kiukweli mtoto wao ni mdogo sana...pia kama hatopata ataingia bleed kawaida au itabadilika?..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom