Jamani hili linawezekana kweli?

issac77

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
2,948
4,715
miezi kadhaa iliyopita nilinunua king'muzi cha zuku nilikitumia yapata miezi 2 baadae sikuridhishwa na huduma zao. Nilivyoolizia badaadhi ya watu wangu wa karibu wakanambia "naweza nunua decorder ya king'amuzi chochote nikatoa kile cha zuku mambo yakaendelea ilihali dish ni la zuku".

Kweli nikanunua startimes decorder nikafunga (dish zuku, decoder startimes) huduma za startimes nikaendelea kuangalia kama kawaida.

Sasa cha ajabu nina miezi mitatu naangalia tena bure kabsa bila kukatiwa channel yoyote na zipo zaidi ya channel 70+ zikiwemo za kihidi. Hivi jamani hili linawezekana kweli? Au ni ofa tu nimepewa?
KARIBUNI
 
Asante kwa taarifa tatizo lako tunalishughulikia tutalipatia ufumbuzi ndani ya masaa 72 kuanzia sasa
 
miezi kadhaa iliyopita nilinunua king'muzi cha zuku nilikitumia yapata miezi 2 baadae sikuridhishwa na huduma zao. Nilivyoolizia badaadhi ya watu wangu wa karibu wakanambia "naweza nunua decorder ya king'amuzi chochote nikatoa kile cha zuku mambo yakaendelea ilihali dish ni la zuku".

Kweli nikanunua startimes decorder nikafunga (dish zuku, decoder startimes) huduma za startimes nikaendelea kuangalia kama kawaida.

Sasa cha ajabu nina miezi mitatu naangalia tena bure kabsa bila kukatiwa channel yoyote na zipo zaidi ya channel 70+ zikiwemo za kihidi. Hivi jamani hili linawezekana kweli? Au ni ofa tu nimepewa?
KARIBUNI
Kuanzisha kesho tutakukatia channel zote.unapatikana wap
 
thread nimeiandika kimshangao ila naona wadau mirejesho yenu imejaa wivu na kejeri
 
KILE KIDUDEXKINACHOKAA JUU YA DISH KINAITWA UNIVERSAL ...... ( sikumbuki vizuri)na niliambiwa inatumika kwa dish aina zote hivo yaweza kuwa sawa
 
na kesho ukianza kulipa 40,000 ukakatiwa matangazo baada ya wiki usije na uzi wa malakamiko. naanza kuelewa sababu ya watu kuja na hoja za tanesco kupandisha bei isivyo kawaida
 
KILE KIDUDEXKINACHOKAA JUU YA DISH KINAITWA UNIVERSAL ...... ( sikumbuki vizuri)na niliambiwa inatumika kwa dish aina zote hivo yaweza kuwa sawa
ni kweli mkuu kiukweli ilinishangaza sana huduma kampuni tofauti zikaingiliana...mbaya zaidi hata kodi yao wameisahau
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom