Jamani;hili la zain internet ni la kweli au changa la macho???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani;hili la zain internet ni la kweli au changa la macho????

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sizinga, Sep 1, 2010.

 1. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2010
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Hawa watu wa zain wametutangazia offer kubwa kwenye kipindi hiki cha mfungo kwamba sms,kupiga simu na internet ni bure kuanzia saa 6 usiku hadi 11.59 alfajir...kwangu mi ni huku kwenye internet...jamani nimegeuka bundi kwa muda wa siku 3 sasa mid-night,silali, kila nikiweka salio kwa simu yangu nikitumia tu internet credit inakata vibaya sana,nimejaribu hii kitu kwa siku ya tatu sasa nachajiwa gharama za internet sasa hii free internet inapatikawa vp jamani?kwasababu naona wanaipigia promo maredioni na wanadai hamna mishemishe za kujiunga,sasa kwann watuongopee kuwa usiku wa 6 hadi saa 12 asubuhi ni bure ilhali wanakata hela...msaada jamani au utaratibu wa kujiunga basi watuambie
   
 2. pcman

  pcman JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2010
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 744
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Ni kweli, hakuna usanii, natumia kila siku bure.
   
 3. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2010
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,859
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  ni kweli bure natumia kila siku. May be wapigie uwaulize kulikoni lakini hakuna kujiunga wala complication yoyote.
   
Loading...