Jamani hili beat ni la Dj au msanii gani?

Spartacus boy

JF-Expert Member
Sep 22, 2020
1,574
3,133
Kifupi ni kwamba hili beat nilikuwa nalisikia tangu udogo wangu . Miaka ya tisini mwishoni jirani yetu alikuwa na kaseti iliyokuwa inapiga hili beat kwenye masherehe.

Nilijaribu kulitafuta mtandaoni kwa kila njia sikupata mpaka majuzi nimepita karibu na library fulani hivi nikakuta linapigwa.
Dah nikifurahi saaaana maana linanikumbusha utoto wangu. Harakaharaka nikachukua smartphone yangu nikajaribu kuu shazam lakini simu ikanambia no results!

Nikaona isiwe shida nikatoa sh 200/= jamaa akanitilia kwa simu.

Kwa computer ake nikaona jina la hili beat ni "kwaito ya kumachi" basi nimeingia mtandaoni kuli search kwa jina hilo nimetoka kapa.
Licha ya kuwa ninalo kwa simu nmejaribu kuplay huku shazam ikiwa on hola no results!.

Basi ili nisije kulipoteza nimeamua nili upload kabisa kwa google drive mapema sana.

Kwa anayelijua tafadhali anitajie msanii na jina lake.
Linanikumbusha utoto wangu aisee.
Hili hapa chini

View attachment 1667842
Yani nilliposoma tu maelezo yako hata kabla sijasikiliza nikajua moja kwa moja ni hili hata mimi ni beat inayonikumbusha mbali utoto wangu. Hili beat na hizi nyimbo

Lkn mkuu bado hujakata kiu yangu ya kujua jina hili beat
 
Back
Top Bottom