Jamani hii ni soda gani? Fanta au Mirinda? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani hii ni soda gani? Fanta au Mirinda?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Kaa la Moto, Mar 25, 2011.

 1. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  DSCF0002i.jpg
  DSCF0001i.jpg
  DSCF0003i.jpg
  Jamani hivi hizi biashara zinafanyika vipi? Inakuwaje mtu nanunua soda ya fanta lakini iko ndani ya chupa ya mirinda? Huu ni uzembe wa hali ya juu!
  Nani mwenye kosa hapa? Hivi naweza kuwachukulia hatua gani hawa?
  Siku nyingine utagundua kuwa watanzania hatuko serious na biashara zetu.
  utakuta mende, vifuniko vya soda na takataka kibao katika soda. Ni uzembe mkubwa sana.
  Usishangae siku nyingine kukuta unakunywa konyagi mwitu ukidhani wanywa soda, maana huku kwetu wanatumia chupa hizi hizi ku bottle Konyagi!
   
 2. Observer2010

  Observer2010 Senior Member

  #2
  Mar 25, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 198
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Watanzania tushazoea vihoja.
   
 3. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Hii ni bonge la aibu meneja wa hicho kiwanda anatakiwa kujiudhuru :smash::smash::smash:
   
 4. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #4
  Mar 25, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  MR unataka meneja ajidhuru au ajiuzuru?
   
 5. Diehard

  Diehard JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 370
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Kaka Bongo utelezi jamaa yangu alishaagiza castlelite wakaleta ipo kwenye chupa Tusker malt na si unajua Tusker malt ina maandishi ya kuchoma kwenye chupa lakini label na kizibo Castle lite.

  Wapelekee Coca cola labda wataweza kufind a way foeward na ukalipwa kifuta jasho au bodi ya ushindani wa biashara nao pia wanahusika katika mambo haya.
   
 6. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #6
  Mar 25, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Tatizo hatuna sera, sheria wala ufuatiliaji wa kumlinda mlaji. Umeangalia vifuniko vimejaa kutu kwa nje, ndani vitakuwaje? Iko siku nilinunua soda ndani mna filter ya sigara. Nilipokwenda kiwandani walinizuwia nisionane na mkuu wa uzalishaji. Kama tungekuwa makini hawa ni wa kupigwa faini kubwa na/au kufungiwa kabisa.
   
 7. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #7
  Mar 25, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Afu wewe huelewiii hahha haha:lol::lol::lol:
   
 8. M

  Mantisa Senior Member

  #8
  Mar 25, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hiyo ndo Bongoland. Subotage kila mahali. I can imagine hiyo pia ni mbinu inayotumiwa na haya makampunia kuharibiana biashara
   
 9. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #9
  Mar 25, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Oops! Kuna binti huku alikunywa koka ndani kulikuwa na mavi ya mende na uchafu mwingine. Binti hoi hadi akalazwa hospitali. Alienda kushtaki akalipwa fidia.
  Watu tushajitoa mhanga kunywa hayo makemikali. Bado wanatuongezea na uchafu. Lol!
   
 10. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #10
  Mar 25, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Hiki ni kile kiwanda cha Mwanza cha yule mwana CCM mkereketwa anaitwa Gachuma ndio kinafanya madudu haya.
  Jamaa yuko buzy anachakachua mambo ndani ya chama na huku biashara yake pia imechachuka. Badala ya kuwa busy na kuhakikisha biashara yake ina prosper yeye yuko busy na chama kilichokwisha kujifia! JAMANI!
   
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  Mar 25, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,169
  Trophy Points: 280
  Umekunywa sip up iliyokuwa inatengenezwa Mbeya miaka ya mwishoni mwa themanini na mwanzoni mwa tisini
   
 12. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #12
  Mar 25, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  Duh...yupi sasa.....wa coca cola au wa pepsi??
   
 13. M

  Mbonetronics Member

  #13
  Mar 25, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi ndugu unaona wanajf wote watoto? Au unadhani hatuna mambo ya maana ya kujadili? UMECHUKUA CHUPA YA MIRINDA ORANGE, UKAPACHIKA KIZIBO CHA FANTA, halafu unajiita great thinker, cjui ndyo ubunifu? Pole
   
 14. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #14
  Mar 26, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Nadhani una ugonjwa wa kichwa. Nibandike kizibo ili iweje wewe ****? wewe ndiye mtoto. Unadhani nina faida gani kuleta uongo hapa. Mimi nina akili timamu na kitu hiki kimetokea. Na ndio sababu nauliza. Kama huna la kusema kaa kimya. Kama wewe ni meneja wa kiwanda hicho ni PM nikwambie soda hiyo ilipo na nikudai fidia mjinga wewe.
   
 15. H

  Hamuyu Senior Member

  #15
  Mar 26, 2011
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ajiuzului
   
 16. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #16
  Mar 26, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,784
  Trophy Points: 280
  not in tanzania
   
 17. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #17
  Mar 26, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,784
  Trophy Points: 280
  kwani wanatofautiana?
   
 18. L

  LAT JF-Expert Member

  #18
  Mar 26, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  nani aliyekosea zaidi....?
   
 19. L

  LAT JF-Expert Member

  #19
  Mar 26, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu .... nahisi hii ni photo shop ... photographic illusions
   
 20. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #20
  Mar 26, 2011
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,806
  Likes Received: 1,053
  Trophy Points: 280
  wanzuuuki ya rangi!
   
Loading...