Jamani hii ni sawa au tunaibiwa?

Tee Bag

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
7,200
5,553
kama kuna mtu anaefahamu anielimishe
(1) pesa ya likizo, huku kwetu (P.P.T.L-Tanga) kanuni wanayoitumia hatujui ni sawa au wanatuibia
{BasicXdays}/30+A
A=nauli=Tsh12,000 haijalishi unatoka mwanza,mbeya au Tamga nauli ni hiyo. Na hiyo jumla ya pesa huingizwa kwenye makato ya kodi na NSSF?
(2) masaa ya ziada kazini [overtime]
{BasicXhoursX1.5}/195
kwa yeyote anaejua hayo atujuze ili tuelewe
 
Back
Top Bottom