Jamani hii ni kwa wanawake tu!. . . . . !Imetokea kweli na huyu hajaamua la kufanya!

Hakuna dawa hapo labda kama unaleta stori za kishigongo!!! Kwanza ushirikina ni haramu sana, halafu tena umuingilie kinyume na maumbile mkeo?

Yaani stori imenichefua sana mpaka nashindwa kuandika vizuri lakini ukweli hakuna ouvu kama kumuingilia kinyume mkeo au hata mwanaume mwenzako!!!!

Kama unajua kuna kufa basi usijaribu kabisa ujinga huo na huyo mwanamke aende akampime mwanae ngoma labda kaathirika halafu anahangaika bure.

Mkuu kwani unadhani hii story ni ya kweli? Ni ya kufikirika tu!
 
Hhahahah kweli hadithi njoo utamu kolea.....Hapo zamani za kale......waganga wa kienyeji ni waongo sana kuingiliana kinyume cha maumbile ndio dawa gani hiyo???

ahh yaan ndgu yangu mimechoka kabsa.....lakin shigongo anatafuta waandishi wa riwaya.....anawea akapata:second:
 
Upo kwenye ndoa na mumeo mna ndoa yenye furaha tele na mmejaaliwa mafanikio yote!Ya kifedha na kiuhusiano!Na pia mmejaaliwa mtoto mmoja tu wa kike na anafanana sana na wewe mama yake!Bahati mbaya baada ya kujifungua mtoto huyo ukapata matatizo ya uzazazi yaliyopelekea ukaondolewa mfuko wa uzazi.Huwezi kuzaa tena. . .Tatizo linakuja mwanao anaanza kuugua sana unampeleka hosptl haponi,hali inakua mbaya zaidi na mtoto anaanza kuwa na mabakamabaka mwili mzima kama nyoka,mnapeleka kuombewa inashindikana,mnaamua kumpeleka hosptl za nje ya nchi;Nairobi,South Africa mpaka India lakini hali inakua mbaya zaidi.Mumeo ni mtu wa dini na ameokoka hataki kusikia mambo ya waganga wa kienyeji.Unaamua wewe mwenye kumpeleka mwanao kwa mganga,mganga anamkagua mwanao na anakwambia anaweza kumtibu lakini kutokana na ugonjwa wa mwanao kwa sababu ni wa kike dawa ile itamtibu mwanao kwa wewe na mwanao kuitumia kwa njia tofauti.Mwanao utamwogesha na dawa ile pamoja na kumnywesha.Wewe utaioga dawa ile lakini pia inatakiwa mumeo aipake dawa ile kwenye uume kisha akuingilie kinyume na maumbile halafu baada ya siku 3 unywe dawa ile!Ungefanyaje?Kuna mwanamke mwenzio anachangamoto hii,jaribu kumsaidia!
mganga na mume wangu watakuwa na undugu, ameona nimemnyima tigo, kaona aende kwa mganga! tigo yangu no!!
 
Kumbuka kwamba huo ni ugonjwa huwejua!

sawa Eiyer lakini pia kawa kweli huyo mama ni mcha Mungu anapaswa kujua kifo kipo na kiliumbiwa binadamu.asipoteze imani na msimamo wake wa maisha kwa sababu ya kifo coz anaweza fanya hayo yote na mtoto bado akafa tu.
Am speaking frm experience hapa,nilichunguliaga kaburi wakati fulani nikatakiwa kufanya something of the similar stupidity,mark you i had a one month old boy. Sasa nilitakiwa kuchagua kifo au kufanya hayo ya mganga,nashukuru Mungu nilisimamia imani yangu na kupona kwangu mpaka leo naona ni muujiza mkubwa ktk maisha yangu.
Nilijifunza kuishi kwa kujiandaa,anything can happen anytime. Imagine ingekuwa ni ajali huyo mtoto akafa hapo hapo huyo mama asingeishi?sasa kwa nini akubali kufanya dhambi kubwa iyo kwa sababu ya kuogopa kifo?
 
Rose1980 mbona unasema ni hadithi? dont run into a conclusive remark at first sight. Nafikir hebu tumuone anakujaje na majibu yake manake mm nawajua watu ambao in real wanapita kwenye changamoto mbaya sana ambazo unaweza kufikir siyo maisha at all. mfano unayajua maisha ya sajuki in deep?

Umekosea sana kumtaja sajuki hapa maana hata kama story ya maisha yake kapitia mengi siyo mpaka kutakiwa kuingia kimumbile mtake radhi
 
Last edited by a moderator:
Jamani kama ni true situation basi i will do as follows.
Mungu anaweza akakupa mtoto mmoja na akamruhusu shetani amuue. to me uwezo wa kuzaa au la its not a big deal manake ndivyo maisha yalivyonichagulia.

cha kufanya ningemuomba Mungu mapenzi yake tu yatimizwe. Sihitaji wala sitaruhusu nafsi yangu iendelee kuumia kwa kile nisichokitaka. Kama Mungu aliyemuumba hawez kumnusuru basi afe tu. tena pakifika mahali anaumia kwa ugonjwa ningeomba sala ili mungu ampumzishe. najua itauma lkn itafikia mwisho. bwana namkumbuka bwana mmoja aliyeitwa Rimoy miaka ile ya 90's alikuwa na mke na watoto 6 walikufa mke na wanae wote kwenye ajali wakitokea Arusha so kwake yeye maisha ni nini? tena hata hakuona wakizikwa aliambulia kuona makaburi tu baada ya kupona na kurudi home akitokea hosp.

pokea like 8 kwa post hii
 
hakuna jaribu lisilo na mlango wa kutokea no matter how long it will take nitastick kwa MUNGU wangu
 
Utamu hakuna kwani kaweka mambo ambayo ni laana kuyatenda na hata siku moja hakuna dawa kama hiyo!?
Shine umewah kumsikia mtu aliyesumbuka katika maisha akitoa ushuhuda? kama hujawah basi nyamaza kimya usiseme kuwa hakuna dawa kama hizi. Nimewah kumsikia mtu pale kanisan Agape kwa mchungaji Fernandis akitoa ushuhuda kama huo. tena yeye aliingiliwa na mganga kisha akampa dawa ya nyama iliyoandikwa kiarabu akamwambia kuwa aiweke kwenye tupu zake muda wa siku 5 na baadae aipike kwenye msosi anaokula mumewe. na maji ya kupikia huo msosi yawe yale aliyonawia hiyo tupu.

sasa hapo sijui wewe utasemaje............ life has got a lot ndugu yangu.
 
Last edited by a moderator:
Hapa nimepata picha kwamba wanawake ndio hupenda kukimbilia kwa waganga wanapopata changamoto...........

Samahani kumbe inawahusu KE tu..................LOL



mhh we nawe uo mchomoko unaotaka kuuchomeka apa wala sio
wanawake ndo wanaenda kwa waganga?...PAMADAKU
 
we unasema masharti ya mganga?
wapo watu weengi mno wanaamua 'kuachwa wafe'
au ndugu zao wanaamua basi acha afe
sababu ya kushindwa tu 'kutangaza msaada wa pesa'
wachangiwe apelekwe nje....

na huyo ni mganga au mchawi?
 
Kumbuka kwamba huo ni ugonjwa huwejua!

Ngozi ya mwanangu ina uhusiano gani na maumbile yangu? Ujue ndo maana Mungu katupa wanadamu utashi wa kujua mema na mabaya na hata kutafakari na kujua uhusiano kati ya unachofanya na unachotaka kitokea na ukiangalia hapa hakuna uhusiano wowote
 
kweli kuna haja ya kuhamia mars, kama tiba zimehamia kwenye kumegana tigo ahh basi bwana, halafu baada ya hapo mtoto kapona, na mi nimenogewa, ataendelea tu kunimega tigo??
 
Siku nyingine kama ni kuja na hadithi hapa njo na zenye kufundisha na zenye maana halisi siyo kutudanganya kama siyo wapembuzi!
 
Umekosea sana kumtaja sajuki hapa maana hata kama story ya maisha yake kapitia mengi siyo mpaka kutakiwa kuingia kimumbile mtake radhi

SIJATAMKA KWA MAANA KAMA HIYO UNAYOELEWA WEWE. mimi nilikuwa nataka nimwonyeshe rose kuwa kuna watu wanapita so mtu akitoa la kwake asikimbilie kulikataa la litafakari zaid. Yaelekea wewe hujayajua maisha dogo siku ukiyajua basi hutakuwa mtu asiyejua kufikir kama wewe.
 
Back
Top Bottom