kamonga
Senior Member
- Feb 13, 2008
- 170
- 33
Nilikua napitia blog flani nikakutana na habari kua binti mmoja wa aliyewahi kua waziri hapa Tz amechomwa visu na mpenziwe cjui mume au mchumba, baada ya kumfamaniwa mume/mchumba wake na demu mwingine aliamua kumwaga mafuta ya taa na kuchoma nyunba ya jamaa kisha akaondoka. jamaa alipata hasira na kumfuata home yule binti na kumchoma visu mpka akazimia (yy alidhani kaua) akatoa taarifa kwa watu wakawahi kumuokoa binti. nimejaribu kufatilia kila kona ya magazeti cjapata stori hii!! je ni ukweli? ntapata wapi full story kwa anayejua ,plz tujuze au ndo kwa hadhi ya baba stori imekua chini ya kapeti??
=============
Haya wanauturn hii story ndio hot topic ya bongo kwa sasa,najua mama uturn bado hajaipata.
Siku chache zilizopita kuna demu flani,J ambae baba yake aliwahi kushika nyadhifa kubwa tu serikalini kama waziri mkuu,alikwenda kumsuprise boyfriend wake anaeishi maeneo ya mikocheni,
Baada ya kufika huko kwa bf wake akajikuta yeye ndo anakuwa surprised, kumbe jamaa siku hiyo alikuwa anajivinjari na demu mwingine nyumbani kwake sababu hakutegemea girlfriend wake J kwenda kumtembelea.
Basi J kwa hasira ya kumfumania mpenzi wake na huyo demu akachukua mafuta ya taa na kibiriti na kuwasha nyumba ya jamaa moto, jamaa na demu wake wote wawili wakakimbia ili kuokoa maisha yao.
Baada ya timbwili J akarudi kwake akidhani sasa issue iliyobaki ni kupelekana polisi basi, kumbe yule jamaa alikuwa anahasira nae sana kwa kumchomea moto nyumba yake. Jamaa akaenda mpaka home kwa demu ,unaambiwa akamchoma choma visu vya tumbo,yani alikuwa anataka kumuua kabisa,akaondoka akidhani J amefariki,kumbe demu alikuwa kazirai tu,watu wakamuwahisha muhimbili.
Demu mpaka dakika hii yuko muhimbili ICU kwa majeraha ya visu alivyochomwa na boyfriend wake
==================