Jamani hii imekaaje kwa wameru

Remark

JF-Expert Member
Aug 15, 2015
421
832
Nimeitoa mahali tu...

Binafsi mi sikubaliani na hili kabisa.
Kamati ya maadili ukoo wa Urio Meru kijana akitumikia viboko 70 vya makalio baada ya kutohudhuria msiba wa ndugu yake akaenda kufanya kazi yake ya bodaboda Tengeru, Arusha

15355779_1355343464509026_8834230546945906487_n.jpg
 
Hyo ni mila na desturi tena unachapwa na watu wa rika lako!! Hata Waarusha na Wamasai wanayo na inatambulika na serikali za vijiji
Sasa kumekosekana adhabu nyingine ya kiutu uzima ya kupewa tofauti na iyo? Embu imagine kama uyo jamaa leo anaweza akawa na nguvu ya kumuonya mtoto yoyote mtaan ilhali watoto washamuona amechezea za kutosha!!!?
 
Hawa Jamaa hawaangalii wewe ni nani ukiharibu tu wanakupa Kubwa na inatambulika sio kwamba ni blabla.

Kuna Jamaa aliazima CD ya blue akaanza kumshirikisha wife zile sarakasi za kwenye CD wife akashtaki kwa wazee Jamaa akachezee 70 ahahahahaha.
 
Tena kwa wamaasai ole wako kijana ukutwe hujavaa yale marubega yao na fimbo na sime huna utakoma ubishi utapelekwa kwenye jumuia yao utapata viboko vya kutosha ukitoka hapo akili zinakurudi nimeipenda hii ingekuwa kwa makabila yote maadili yangekuwepo
 
  • Thanks
Reactions: bdo
Sasa kumekosekana adhabu nyingine ya kiutu uzima ya kupewa tofauti na iyo? Embu imagine kama uyo jamaa leo anaweza akawa na nguvu ya kumuonya mtoto yoyote mtaan ilhali watoto washamuona amechezea za kutosha!!!?
Hao watoto hapo kwenye picha wako wapi ? Si uulize utaratibu uambiwe adhabu inavyo tekelezwa ?
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom