Sasa kumekosekana adhabu nyingine ya kiutu uzima ya kupewa tofauti na iyo? Embu imagine kama uyo jamaa leo anaweza akawa na nguvu ya kumuonya mtoto yoyote mtaan ilhali watoto washamuona amechezea za kutosha!!!?Hyo ni mila na desturi tena unachapwa na watu wa rika lako!! Hata Waarusha na Wamasai wanayo na inatambulika na serikali za vijiji
Hawa Jamaa hawaangalii wewe ni nani ukiharibu tu wanakupa Kubwa na inatambulika sio kwamba ni blabla.
Kuna Jamaa aliazima CD ya blue akaanza kumshirikisha wife zile sarakasi za kwenye CD wife akashtaki kwa wazee Jamaa akachezee 70 ahahahahaha.
Tena kwa wamaasai ole wako kijana ukutwe hujavaa yale marubega yao na fimbo na sime huna utakoma ubishi utapelekwa kwenye jumuia yao utapata viboko vya kutosha ukitoka hapo akili zinakurudi nimeipenda hii ingekuwa kwa makabila yote maadili yangekuwepoHyo ni mila na desturi tena unachapwa na watu wa rika lako!! Hata Waarusha na Wamasai wanayo na inatambulika na serikali za vijiji
Hao watoto hapo kwenye picha wako wapi ? Si uulize utaratibu uambiwe adhabu inavyo tekelezwa ?Sasa kumekosekana adhabu nyingine ya kiutu uzima ya kupewa tofauti na iyo? Embu imagine kama uyo jamaa leo anaweza akawa na nguvu ya kumuonya mtoto yoyote mtaan ilhali watoto washamuona amechezea za kutosha!!!?
viboko ndo haki pesa tunazoAngepigwa faini tu.....pesa zikasaidia kuendesha msiba......