Jamani hii hapa Photo Gallery ya Barua alizoandikiwa Santa Claus na rafikize wakati wa sikukuu

Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
5,626
2,000
Ni kwa courtesy ya Ellen Degeneres website/photo gallery.

Link hii hapa Letters to Santa - Ellen DeGeneres Photo Gallery

Ziko 25;

Soma walau mbili, zinafurahisha,

Mwenyewe sijazimaliza, nitazimalizia baadaye

Enjoy your day

 

Jmujun

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
967
1,000
Nawaonea huruma hawa watoto walivyodanganywa na kujazwa ujinga.
Hivoo hivo hata wao wanakuonea huruma kwa kujazwa upumbavu wa waarab mpaka sasa wewe ni mwarab mweusi,
Single mothers akil mnaachaga kwa handbags,
 

Cendy

JF-Expert Member
Mar 28, 2015
1,210
2,000
Hivoo hivo hata wao wanakuonea huruma kwa kujazwa upumbavu wa waarab mpaka sasa wewe ni mwarab mweusi,
Single mothers akil mnaachaga kwa handbags,
Mhhhh sio kwa matusi haya
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom