Jamani hii chenji ya rada ninayosikia mashuleni ni bei gani?

kerezange

Senior Member
Dec 3, 2013
168
29
Nimekuwa na maswali mengi sana juu ya chenji ya Rada , msemo ambao nimekuwa nikiuona na kuusikia kwenye vyombo vya habari kuwa kiongozi fulani anagawa vitabu vya chenji ya rada, sasa hii serikali yetu inayoongozwa na ccm mbona hawakusema ni bei gani na itagawanywa vipi???? naomba jibu wana JF ambao mnapenda maendeleo nitakaporudi kutoka kuzika nipate jibu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! ndege inataka kuondoka kwenda msibani kwa madiba
 
Back
Top Bottom