Hebu jamani naombeni msaada nifanyeje? TCU walitoa orodha ya wale ambao hawakuchaguliwa kwa kukosa credits,jina langu halikuwemo kwenye orodha hiyo.cha kushangaza TCU wametoa majina ya waliochaguliwa kujiunga vyuo mbalimbali na huko pia jina langu halipo. Nimesoma PCB na pass grades EED.Naombeni msaada wa mawazo nifanyeje?