Jamani hawa kinamama wa Hizi NGO TMWA, HAKI ZA BINADAM NA TGNP na migomo ktk nchi hii vipi?

Kijo Bisimba ni mChagga? Au katokea kanda ya kaskazini!?

Tumeshachoka waChagga kuandamwa...na wala we sio wa kwanza f!s!-maji wee! Mtaendelea hivyo hivyo na wivu wenu...but its living fact...WE (Chaggas) ROCK!!! and we will for a very looong time...'Hate it or love it'!
Mkuu, hebu kamata Mtori hapa...........

008.JPG

Halafu kamata wari, urie kidogo...

Mbege.jpg
 
Mi nawashangaa hawa akina mama,huwa wanaonekana kwenye migomo lakini katka mambo ya msingi na ya wako kimya. Hivi hawajawaona wale wazee wenye madai east africa wanaolala nje pale stesheni? Kwa nini hawaendi kuwasaidia walipwe stahili zao? All in all akina hawa wanatokea north,siwezi kushangaa kwani ni watu wa maslahi binafsi na wabinafsi walopitiliza,mchaga na pesa!
Unataka kila kitu wakufanyie wao,wewe ulishindwa nini kuwasaidia hao wazee.
 
Madaktari ni wachaga au wote wanatoka kaskazini?
Walimu nao ni wachaga na wanatoka kaskazini?

Watumishi wa umma ikiwa ni pamoja na polisi,jeshi na usalama Wa Taifa hakuna wachaga?
Unataka kutuaminisha kuwa hakuna wachaga walioko kwenye mfumo dhaifu?

Umekula wa ndele wewe mwana Giningi,wambie waliokutuma wawafanyie haki watanzania wasowang'oe
meno na kucha hakuna mtu atakaye lalamika,kuleta propaganda za kitoto kuficha ukweli hakusaidii
 
The idea that tribes are units is a myth.
You make my day big boy! Wapi wachaga (wote) walikutana wakafanya uamuzi kujiunga na Chadema na kuifanya serikali isitawalike? Inawezekanaje kuwaleta wachagga wote pamoja kufanya uamuzi kama huo? These beasts are scarttered not only all over the country but the world! They are so diverse in opinio, skills and capabilities. This is an insult kwamba wachagga wote wanafikira sare na kila mmoja wao hana uhuru wa kuamua anachotaka.Alternatively, how can a specific action by one or few chaggas be used to represent all chaggasthese kinds of arguments continue to strengthen the belief that waislamu hawajakwenda shule
 
Hata mimi nashangazwa sana hawa akina mama wa TAMWA, TGNP, sikuwasikia kabisa wakipinga mahakama ya KADHI na SHARIA ambayo zinaende kinyume na haki za binadamu.
Eti mwizi akatwe mkono,
Mwanamke akizini apigwe mawe hadi kufa wakati mwanaume anaachwa huru
Eti kisichana cha miaka 14 rukhusa kuolewa, sijui kitasoma lini?
Eti mwanamke ana haki nusu ya mwanaume katika mahakama ya kadhi.
Eti ushahidi wa mwanamke haukubaliki katika mahakama ya kadhi,

Kusema kweli hawa akina mama hata mimi naona wanasahau wajibu wao MUHIMU wa kutetea haki za wanawake!

Najua kwa nini umesema hivi,na ulikua unaisubiri reply yangu kwa hamu kubwa,ila ni kwamba hujui lolote kuhusu mahakama ya kadhi na yote uliyoyataja hayamo ktk mahakamb hiyo ya kadhi,fanya research uincrease knowledge.
 
Hata mimi nashangazwa sana hawa akina mama wa TAMWA, TGNP, sikuwasikia kabisa wakipinga mahakama ya KADHI na SHARIA ambayo zinaende kinyume na haki za binadamu.
Eti mwizi akatwe mkono,
Mwanamke akizini apigwe mawe hadi kufa wakati mwanaume anaachwa huru
Eti kisichana cha miaka 14 rukhusa kuolewa, sijui kitasoma lini?
Eti mwanamke ana haki nusu ya mwanaume katika mahakama ya kadhi.
Eti ushahidi wa mwanamke haukubaliki katika mahakama ya kadhi,

Kusema kweli hawa akina mama hata mimi naona wanasahau wajibu wao MUHIMU wa kutetea haki za wanawake!

Nchi yetu haina dini watu ndiyo wana dini na nikujulishe tu katika kuandikishwa kwa vyama vyote vya kijamii haviruhusiwi kuingilia masuala la kidini. Wanaruhusiwa masuala ya jumla tu ambayo kwa mfano kikatiba miaka 18 anaruhusiwa kufanya mambo ya kikubwa na dini nyingine zinafuata hili. But kwa waislam it is sensitive labda atokee mwanaharakati wa Kiislam. Ugomvi wa waislam huwezi kuubeba hata ingekuwa mimi sitaweza.

Nawasifu sana kina mama hawa, waendelee na moyo huo huo wasikate tamaa!!! Hivi Kova yuko wapi? Sijamsikia kabisa ujio wa Dr. SU? Aje atupe jipya!!
 
Mkuu, hebu kamata Mtori hapa...........

008.JPG

Halafu kamata wari, urie kidogo...

Mbege.jpg

Yesuuuu na Maria, mate yananidondoka. Nipe hicho kipata mkuu nirie kidogo. Mtori huo halafu wa motoooooo umepikwa kwa supu tu hakuna maji. Hiyo mbege imewapa wachagga akili aise hadi wakizaliwa mjini bado wanaongoza mitihani ya kitaifa mzeee. Chezea kina mangi wewe. Nawapigia saluti!!! Natamani kule kabila langu wangefikia hata 1/8 ya wachaga kwa maisha na maendeleo. Nilisoma shule za Sec Moshi enzi hizo na mbege ilinichangamsha. About 3 years ago nilitembelea maeneo niliyosoma, sikuamini kuwa kila nyumba ni block, umeme, maji hata kama nyumba ya udongo umeme upo. Dereva wangu akaniuliza, eti bosi huku ni mjini au ni wapi? Ni kijijini kweli? Mbona wao wana maji na mjini hakuna maji? Nikamjibu softly, huku ndiyo uchagani, unayoyasikia leo umeyaona. Wanafaa kuongoza hii nchi maana wanajua maendeleo. Si unaona VD baada ya kuja na sera ya kuwaondoa katika madaraka si unaona uchumi na utendaji serikalini unadorora? Bila kuwarudisha wachaga ngazi za kiutendaji serikalini basi nchi hii kwishey. Wapeni kazi na matokeo mtayaona.
 
Hata mimi ninawashangaa sana hawa wa mama! Wao badala ya kutetea kipengele cha dini ya kiislamu kiwekwe kwenye sensa ya makazi wamekaa kimya. Mahakama ya kadhi ili watu waanze kupopolewa na mawe wafe .....wao wamekaa kimya! Badala ya kufuatilia jinsi waislamu wanavofelishwa na NECTA pamoja na universities mbalimbali wao wamekaa kimya!
 
Careboy, mamia wanafariki kwasababu kubwa kuwa madaktari hata wasipogoma wakiwa kazini hawana vitendea kazi na madawa hayapo hospitarini ; baba zenu mafisadi wameiba fedha na kuzificha huko ulaya na wakiugua wanakwenda huko kutibiwa!! Sasa wanaharakati wanawataka baba zenu warudishe hizo fedha walizoficha huko Switzeland ili zinunue dawa; tuwalipe walimu mishahara mizuri na madaktari pia ili walala hoi wasioweza kwenda India wapate tiba nzuri hapahapa; lakini baba zenu wametia pamba masikioni wanajifanya viziwi hawasikii na hilo ndilo wanaharakati wanalopigania kuwa zilizofichwa ulaya zirudishwe ili wananchi wapate haki yao!!
huo ni unafiki mkubwa sana, kwa sababu mimi natibiwa hospital za kata na dawa zipo, ila kinachofanywa ni dawa zikiletwa leo hao madaktari wenu wanachukua na kupeleka kwenye maduka yao na kuwauzia tena wananchi. hapo mwenye kudai haki ni nani, mwizi wa dawa au anayepeleka dawwa zikaibiwa na mwizi? Tatiza watu wenye mitizamo ya kichaga, kwa sababu wamezoea kuiba basi wanahisi kila mtu ni mwizi. nenda kilimanjaro uone watu walivyojimilikisha ardhi na jinsi walivyoiba mali za wananchi na kujilimbikizia mali, na hao ndg zenu manaowapigia debe kwa kuzusha ili kuchafua nchi ndo wezi namba moja, na hata mkifanikiwa kuchafua nchi kwa uchu wa kushika nchi kwani ninyi mtaenda kuishi mbinguni? kila siku kukitokea migomo ninyi wa kwanza kushabikia huo upuuzi, watu wanakuja na madai ya 100% ya nyongeza ya mishahara na ninyi mambumbu mnasema sawa tu wagome, wakati hela ya kuendesha nchi inatoka kwa hao wananchi masikini ambao ni walipa kodi, sasa wakiongezewa kodi ili walimu na madaktari waongezewe mishahara 100% vp kuhusu sekta zingine nazo zidai 100%. huoni kwamba utawatoza kodi kubwa wananchi maskini ili kulipana mishahara wakati wao bado hali haitabadilika. Mimi sijui hizi taaluma sijui mumesomea wapi hadi mkapewa mamlaka ktk sekta nyeti kama haki za binadam, TGNP na TAMWA, au kule kupendeleana kiukoo? na nchi mnataka muipeleke kiukoo? Pole sana, lkn nia zenu mbaya mungu atazirudisha kwenu kwa adhabu kali iumizayo.
 
Careboy, ukweli ni kwamba baba yako na genge lake wameshindwa kuongoza nchi na ndio maana migomo iko kila mahala na yeye badala ya kutafuta sababu dhahili za migomo hiyo anatafuta visingizio kuwa CHADEMA ndio wanashawishi migomo na hatimaye kukimbilia mahakamani kuwashtaki madaktari pamoja na walimu!! Walimu na madaktali ni watu muhimu sana katika jamii,serikali yeyote yenye akili haiwezikudiriki kugombana na kada hizi za jamii kwani wao ndio msingi wa maendeleo ya nchi; busara ingetawala majadiriano ya kweli yangeweza kuleta suluhu badala ya kudhani walimu na madaktari wamerudi kazini huku wafikapo huko kazini hawafanyi kazi!!Baba yako na genge lake kwa bahati mbaya sana ni punguwani kwani hawaelewi kuwa watu wanagoma kwasababu hakuna mgawanyo wa usawa wa pato la Taifa katika jamii yetu; wakati serikali inasema haina fedha za kuwalipa walimu na madaktari mishahara stahiki ,lakini hapo hapo inazo pesa za kuanzisha wilaya na mikoa mipya ambayo inahitaji pesa nyingi!! Pia serikali inazopesa za kununua magari ya fahali kwa viongozi na watendaji wa serikali na kuongeza posho za wabunge lakini inakosa fedha kama hizo kwa wafanya kazi wengine. It is this disparity in the sharing of the national cake that is the root cause of dissstisfaction in the society!! Careboy, tafadhali mpe baba yako na genge lake hilo somo na watafakari wasiwe wavivu wa kufikiri!! Waambie uongozi sio kusafiri kwenda majuu kwenda kuchukua suti bali ni kuwaonesha njia wale unaowaongoza ili maisha yao yawe ya maana!!
 
Wewe sidhani kama una uelewa wa kutosha, kuongeza wilaya ni kuongeza ufanisi ili kupeleka huduma karibu na wananchi, usawa unaodai uupate kwenye hela tu bila kufanya kazi, we kazi ni porojo tu kushabikia migomo hapo ndo ninapoona kuna kale kauchaga ka kupenda hela hata kwa gharama ya damu za watu, na sio kufanya kazi halali ili kukuza kipato na uchumi kwa ujumla. ninachojua serikali inafanya kila linalowezekana kuhakikisha mambo yana kwenda sawa, lkn bado wanapewa dhamana wanakuwa manyang'au, angalia ,mgawo wa umeme ulivyopikwa na maagent wenu lkn sasa hivi mungu anawaumbua, mumefanya kila mbinu kuhujumu sukari bado mumeshindwa, imekuja kuhadaa migomo ya madaktari kila kona hadi bungeni mumeshindwa. sasa hivi mumebaki kutumia wake zenu muliowaweka kwenye TGNP, TAMWA na Haki za binadamu kupiga uzushi kumbe mna ajenda za kipuuzi. na bado mutaumbuka sana tu. endelea baba, bado nahitaji dukux2 lako liishe Ndinani
 
Last edited by a moderator:

Huna habari kuwa mgao wa umeme ilikuwa dili za Ngeleja na Malima walizosuka na wale wauza mafuta ya kuwashia mitambo? Je Ngeleja na Malima nao CHADEMA? Hujui kuwa genge la baba yako nalo limo kwenye biashsra ya mafuta kupitia kwa mtoto wa mkweree?
 
Jamani sasa hivi nimepata jibu, wale wote wanaoshabikia migomo wakiwemo wamama maarufu wa TAMWA, TGNP na Haki za binadam wote ni wachagadema, so hii mogomo siyo ya kudai maslahi ya nchi, na bali ni ya kuchochea nchi isitawalike ili wazidi kujinufaisha kisiasa, na hizi taasisi ni vema serikali ikawa makini nazo, zipo kisiasa zaidi na kikabila na sio kimaslahi ya nchi, kama mheshimiwa Rais ana mamlaka nazo basi ni vema hawa wamama wanaojifanya kushabikia machafuko kwa mgongo wa kudai haki za binadam wakati kila kukicha tunasikia wamama wajawazito na vikongwa na watoto wanadhalilishwa lkn wapo kimya, ikitokea swala la migomo sijui kina ulimboka na walimu ndo midomo juu kama chupi. tuwaangalie vizuri hawa watu kwa usalama wa taifa letu. vinginevyo niliyoyasema mtakuja kuyakumbuka while its too late.

Ukabila unawatafuna acheni hizo angalieni kazi mtu anazofanya sio katokea kabila gani we ulitaka wawe kabila gani sasa. hovyo kabisa
 
Huna habari kuwa mgao wa umeme ilikuwa dili za Ngeleja na Malima walizosuka na wale wauza mafuta ya kuwashia mitambo? Je Ngeleja na Malima nao CHADEMA? Hujui kuwa genge la baba yako nalo limo kwenye biashsra ya mafuta kupitia kwa mtoto wa mkweree?
unaona uzushi wa kichaga huo? inaonekana ni jinsi gani ambavyo hata hujui uongozi ulivyo, TANESCO ni independent company ina maamuzi yake na ina board ya wakurugenzi, AMBAO NAO WAMEKUJA KUGUNDUA HADI KAMATI YA BUNGE WALIKUWEMO KWENYE KUIHUJUMU TANESCO KWA KUWA NA INTEREST BINAFSI NA KUJIFANYA WANAFKI KWA KUPAZA MIDOMO KUMBE NGOZI YA KONDOO WAKATI NI CHUI. HAYA YOTE ****** KAJITAHIDI KUYAKABILI NA KUPITIA FALSAFA YAKE YA UWAZI NDO UNAONA WEWE HATA WEWE UNABWATA HUMU BILA HOFU YOYOTE, NA UNAWEZA KUPATA HABARI JINSI MA AGENT WENU WANAVYOHUJUMU NCHI KUPITIA DHANA YENU YA NGUVU YA MACHAFUKO ETI MNADAI HAKI ZA WATANZANIA LABDA WALE MAREHEMU WALIOZIKWA, LKN SIO WALIO HAI. KWA SABABU HAWA WALIO HAI MNATAMANI WOTE WAFE ILI MUTAWALE NCHI SASA SIJUI MTAMTAWALA NANI. pOLE BABA, HADOX2 NA WEWE MPAKA UTAELEWa tu karibu.
 
Jamani sasa hivi nimepata jibu, wale wote wanaoshabikia migomo wakiwemo wamama maarufu wa TAMWA, TGNP na Haki za binadam wote ni wachagadema, so hii mogomo siyo ya kudai maslahi ya nchi, na bali ni ya kuchochea nchi isitawalike ili wazidi kujinufaisha kisiasa, na hizi taasisi ni vema serikali ikawa makini nazo, zipo kisiasa zaidi na kikabila na sio kimaslahi ya nchi, kama mheshimiwa Rais ana mamlaka nazo basi ni vema hawa wamama wanaojifanya kushabikia machafuko kwa mgongo wa kudai haki za binadam wakati kila kukicha tunasikia wamama wajawazito na vikongwa na watoto wanadhalilishwa lkn wapo kimya, ikitokea swala la migomo sijui kina ulimboka na walimu ndo midomo juu kama chupi. tuwaangalie vizuri hawa watu kwa usalama wa taifa letu. vinginevyo niliyoyasema mtakuja kuyakumbuka while its too late.

Join Date : 9th July 2012
Posts : 33
Rep Power : 312
Likes Received7
Likes Given24

Msameheni ni usajili mpya wa Lumumba
 
Back
Top Bottom