Jamani hawa kinamama wa Hizi NGO TMWA, HAKI ZA BINADAM NA TGNP na migomo ktk nchi hii vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani hawa kinamama wa Hizi NGO TMWA, HAKI ZA BINADAM NA TGNP na migomo ktk nchi hii vipi?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Careboy wamuntere, Aug 14, 2012.

 1. C

  Careboy wamuntere Senior Member

  #1
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [h=6]Jamani sasa hivi nimepata jibu, wale wote wanaoshabikia migomo wakiwemo wamama maarufu wa TAMWA, TGNP na Haki za binadam wote ni wachagadema, so hii mogomo siyo ya kudai maslahi ya nchi, na bali ni ya kuchochea nchi isitawalike ili wazidi kujinufaisha kisiasa, na hizi taasisi ni vema serikali ikawa makini nazo, zipo kisiasa zaidi na kikabila na sio kimaslahi ya nchi, kama mheshimiwa Rais ana mamlaka nazo basi ni vema hawa wamama wanaojifanya kushabikia machafuko kwa mgongo wa kudai haki za binadam wakati kila kukicha tunasikia wamama wajawazito na vikongwa na watoto wanadhalilishwa lkn wapo kimya, ikitokea swala la migomo sijui kina ulimboka na walimu ndo midomo juu kama chupi. tuwaangalie vizuri hawa watu kwa usalama wa taifa letu. vinginevyo niliyoyasema mtakuja kuyakumbuka while its too late.[/h]
   
 2. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hizo ni taasisi za CHADEMA na zote ni jumuia a kanisa katoliki! Usitarajie kipya!
   
 3. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #3
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
  Wachagga hawana muda wa ngoma kama Wakwere...........wao kazi tu
   
 4. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #4
  Aug 14, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,184
  Trophy Points: 280
  The idea that tribes are units is a myth.
   
 5. HASSAN SHEN

  HASSAN SHEN JF-Expert Member

  #5
  Aug 14, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 428
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mi nawashangaa hawa akina mama,huwa wanaonekana kwenye migomo lakini katka mambo ya msingi na ya wako kimya. Hivi hawajawaona wale wazee wenye madai east africa wanaolala nje pale stesheni? Kwa nini hawaendi kuwasaidia walipwe stahili zao? All in all akina hawa wanatokea north,siwezi kushangaa kwani ni watu wa maslahi binafsi na wabinafsi walopitiliza,mchaga na pesa!
   
 6. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #6
  Aug 14, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,631
  Likes Received: 2,055
  Trophy Points: 280
  Kazi ya serikali ni kutekeleza sera mbambali ambazo imeziweka na kazi za wadau wengine kama hao uliowazungumzia ni kushauri na kukosoa serikali pale inapokwenda kinyume hivyo basi usitegemee hata siku moja watu wawe sawa na serikali ila pale ambapo pana tatizo watazungumza na mara nyingi wapo SPECIFIC na si kwamba kila inachokifanya serikali wanakipinga. Alieanzisha mada anataka kutuaminisha kwamba kila anaepingana na serikali ni CDM na anaekubaliana ni CCM wakati si kweli kuna uwezekano raia wakawa ni CDM but wakapinga mgomo wa madaktari pia mtu anaweza kuwa CCM na akaunga mgomo wa madaktari kulingana na mazingira aliyopo na aina ya huduma anayopata katika hospitali au zahanati iliyopo karibu yake.
   
 7. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #7
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Hata mimi nashangazwa sana hawa akina mama wa TAMWA, TGNP, sikuwasikia kabisa wakipinga mahakama ya KADHI na SHARIA ambayo zinaende kinyume na haki za binadamu.
  Eti mwizi akatwe mkono,
  Mwanamke akizini apigwe mawe hadi kufa wakati mwanaume anaachwa huru
  Eti kisichana cha miaka 14 rukhusa kuolewa, sijui kitasoma lini?
  Eti mwanamke ana haki nusu ya mwanaume katika mahakama ya kadhi.
  Eti ushahidi wa mwanamke haukubaliki katika mahakama ya kadhi,

  Kusema kweli hawa akina mama hata mimi naona wanasahau wajibu wao MUHIMU wa kutetea haki za wanawake!
   
 8. peri

  peri JF-Expert Member

  #8
  Aug 14, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  hao ni wanafik wakubwa.
  wanajifanya wanatetea haki kumbe wametumwa kutimiza malengo ya kisiasa.
   
 9. Highlander

  Highlander JF-Expert Member

  #9
  Aug 14, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Wewe unaumwa!!! Kuna kitu kinaitwa ku force habari. Watu wamekufa watatu kwenye ajali morogoro, wewe unaona kichwa cha habari kingeuza gazeti zaidi kama wangekufa 30.Kwa hiyo unaongeza sifuri kwenye tatu. Wamekufa 30, unasema. Wachagadema ndo nini? Ny...n wewe... Huna akl!  .
   
 10. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #10
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Tatizo la wengi wenu mnashabikia hoja kwa mtazamo wa dini zenu na hapo ndio mnapokosa objectivity!! Wakina mama wanaharakati wao wanajishuhulisha na kutetea haki za binadamu zikiwemo za wakina mama na ndio maana wanawatetea wakina mama wanaopigwa na wanaume zao, wasichana wanaoachishwa shule kwa sababu za mimba na watu wengine kama wakina Kubenea na Ulimboka ambao dola inawatesa na kuwakandamiza kwa vile wanawatetea wanyonge katika jamii yetu!! Sasa unaposema mama Ananilea Nkya na wanaharakati wenzie wanashabikia migomo sio kweli ni lazima uione hiyo migomo katika context ya kupigania haki za wahusika!!
   
 11. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #11
  Aug 14, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  usu malya-tgnp, ananileya nkya-tamwa, kijo bisimba-human rights wote watoka kanda moja hao. Pengine ni muamko wa kutetea haki na maslahi umeshamiri huko.
   
 12. ako me maste

  ako me maste Member

  #12
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 23, 2012
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  attutide makes life 100%. what is you attitude toward life and everything in the world?
   
 13. C

  Careboy wamuntere Senior Member

  #13
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi nadhani kama kitu huelewi chimbuko maana halisi ya kitu basi ni vema kukaa kimya, mahakama ya kadhi wala haihusiani kabisa na mambo uliyoyataja na kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa mambo ungejua yanayohusiana na hii mahakama, kwani hata PM alizungumzia bungeni.
   
 14. C

  Careboy wamuntere Senior Member

  #14
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuna haki gani ya kupigania ulimboka wakati mgomo ulisababisha wananchi mamia kufariki na wao wanasema madaktari waendelee na mgomo lkn wananchi walio wengi hawawaoni, halafu unaleta udini, kama ni udini basi wewe ni mdini uliyepitiliza kwani hakuna mtu aliyetaja udini ila kwa sababu roho yako imekujaa udini basi unaona kila anayesema ukweli basi anamaanisha udini \pile sana.
   
 15. K

  Kidzude JF-Expert Member

  #15
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 2,724
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  wachaga waombe jamhuri yao
   
 16. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #16
  Aug 14, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Hata majina ya wanafunzi waliofaulu sikiliza majina yao utaelewa maanake sio wajinga ni watu walioeenda shule na kuelimika.
  sio wale wanao tuuzia nguzo ya umeme ya iringa ya sh 30,000 wanatuuziakwa miilion moja eti zimetoka south utasema kuna shule hapo.
  nchi zote wanaiba kwengine wanapeleka kwao mfano wazungu ,wachina na wakenya pamoja na waganda wanatuibia dhahabu na vito vingine sisi akili ni kujiibia mwenyewe angalia kwenye halimashauri mashule yanavyojengwa chini ya kiwango hata barabara wanazojenga wachina
   
 17. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #17
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 233
  Trophy Points: 160
  Kijo Bisimba ni mChagga? Au katokea kanda ya kaskazini!?

  Tumeshachoka waChagga kuandamwa...na wala we sio wa kwanza f!s!-maji wee! Mtaendelea hivyo hivyo na wivu wenu...but its living fact...WE (Chaggas) ROCK!!! and we will for a very looong time...'Hate it or love it'!
   
 18. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #18
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Careboy, mamia wanafariki kwasababu kubwa kuwa madaktari hata wasipogoma wakiwa kazini hawana vitendea kazi na madawa hayapo hospitarini ; baba zenu mafisadi wameiba fedha na kuzificha huko ulaya na wakiugua wanakwenda huko kutibiwa!! Sasa wanaharakati wanawataka baba zenu warudishe hizo fedha walizoficha huko Switzeland ili zinunue dawa; tuwalipe walimu mishahara mizuri na madaktari pia ili walala hoi wasioweza kwenda India wapate tiba nzuri hapahapa; lakini baba zenu wametia pamba masikioni wanajifanya viziwi hawasikii na hilo ndilo wanaharakati wanalopigania kuwa zilizofichwa ulaya zirudishwe ili wananchi wapate haki yao!!
   
 19. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #19
  Aug 14, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Mkuu kwani ulikuwa hujui hao kinamama wanaojiita wanaharakati wote ni wafuasi wa Chadema angalia kwenye sakata la Dr Slaa na Rose Kamili.

  Rose Kamili, kafungua kesi kudai fidia kwa kutelekezwa na Dr Slaa, hao kinamama wote walikuwa upande wa Slaa.
   
 20. m

  matongo manawa JF-Expert Member

  #20
  Aug 14, 2012
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mjinga huwaza ujinga na huongea kila linalomjia mawazoni mwake.
  Inawezekana nawewe una una wazazi au familia wanaokutegea.phuu!aibu!
   
Loading...