Jamani hawa crdb bank wanaitaji wachina

IKISU

Member
Jan 2, 2012
64
13
Niomeona tangazo la nafasi za kazi kwa crdb bank moja ya vigezo wanataka wachina tu sijaelewa.
 
nnji ishauzwa, ulikua wapi hujachukua cha kwako, sisi home kwetu tulipewa 10ml tu jaman dear
 
makubaliano aliyoingia rais wetu na kusaini mikataba 17 ndo matokeo yake...nasikia crdb wamefungua benki ya watu wa china ndani ya crdb ivo unaweza ukaweka ela za kichina na kutoa, ivo lazima crdb wawatafte wazoefu wa kichina ili iwe rahisi ktk kutoa huduma kwa wachina....nadhani ni lazima wawe na wachina benki
 
hili tangazo niliangalia mara nyingi sana then nikacheka. ccm hao wametuletea wachina
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom