Jamani hawa CCM kama mali zao wanafuja, je za kwetu zinapona kweli? "Charity begins at home."

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,349
6,476
Taarifa ya mali za CCM inaonesha ubadhilifu mkubwa wa mali za chama hiki kikongwe hapa nchini. Wananchi wameipa CCM ridhaa ya kuongoza nchi hii tangu uhuru (tangu uhuru kwani CCM ni zao la TANU na ASP).

Je, kwa tabia hii mbaya iliyodhihirishwa na taarifa yao wenyewe, kweli mali zetu sisi wananchi zipo salama kweli?

Kwa habari zaidi fuata hiki kiunganisho Ripoti mali za CCM yabaini wizi, utapeli
 
Ccm imejaa wezi, matapeli na vibaka....
Mafisadi na walarushwa ni zao la ccm!
 
Ipo wazi wanaiba... NA
Kuacha hawawezi
ndio maana Wanaendelea.

By=1.5Tr
 
Angalau wanajisafisha na kumulika wezi ..... shida ni pale watu wanabunya kimya kimya bila kumshika mkono kipofu.wafipa...wafipa nyie...Mungu anawaona..!
 
Back
Top Bottom