Hahaha wape vidonge vyao wana Jf, hawajui kama mm ni Bonge la Mwanamme
si ndio hapoooo!wanakuchukulia POA SANA!
halafu BTW lile gauni nikimatch na kiatu na clutch ya gold itakuwa poa sana!mwambie watu8 akusindikize mkaninunulie actually,namuaminia kwenye kuchagua halafu we mpango wa noti!sawa?
Heee!!

naam...katika selection ya viwalo mie ndio Waziri Mkuu