Jamani Hali ya Zanzibar na Muungano si Shwari

Mabango bila kuweka picha? weka humu tuone.

Muungano kama hawautaki kwani haramu? kwanza muungano ukivunjika ni faraja kwa chadema maana visiwani hawana kiti hata cha kuombea chumvi.

Kauli mbiu ya Uamsho ni "mpaka kieleweke", inakukumbusha nini hiyo? mie nilisikia uamsho wanapata misaadaa kutoka chadema.

Hivi kwanini kila jambo ambalo si la amani mnaisingizia Chadema? Kumbukeni kua hiki ni chama cha siasa na kina irani yake juu ya maendeleo ya nchii hii. Hizo ni propaganda za CCM na wale wenye upeo mdogo juu ya UONGOZI kusingizia CHADEMA kila mgogorn unaotokea ndani ya nchi hii. Udhaifu wa JK kushindwa kutatua kero na matatizo aliyoahidi kuyamaliza wakati wa kampeni ndizo zinazozalisha haya mambo yote especially migomo. I ain't no longer proud of being a tanzanian under this leadership.
 
ww bila kuitaja chadema hulali. weka ushahidi hapa chadema wanahusikaje na uamsho ili sheria ichukue mkondo wake.
 
ww bila kuitaja chadema hulali. weka ushahidi hapa chadema wanahusikaje na uamsho ili sheria ichukue mkondo wake.

Mbona mleta mada hukumwambia alte ushahidi wa Oman inahusikaje.

Mimi ushahidi wangu kauli mbiu ya Uamsho ndio hiyo hiyo ya chadema "mpaka kieleweke".
 
Hivi kwanini kila jambo ambalo si la amani mnaisingizia Chadema? Kumbukeni kua hiki ni chama cha siasa na kina irani yake juu ya maendeleo ya nchii hii. Hizo ni propaganda za CCM na wale wenye upeo mdogo juu ya UONGOZI kusingizia CHADEMA kila mgogorn unaotokea ndani ya nchi hii. Udhaifu wa JK kushindwa kutatua kero na matatizo aliyoahidi kuyamaliza wakati wa kampeni ndizo zinazozalisha haya mambo yote especially migomo. I ain't no longer proud of being a tanzanian under this leadership.

Kuwaamsha Wazanzibari waweze kusema wanachotaka ni sifa kubwa kwa Kikwete kuwezesha kero kutatuliwa. Fikiri!
 
Zanzibar kuna uwezekano fulani wa kuipata,
Lakini hiyo 40? Hata kuiwaza tu ni kutangaza Vita.
Kutamani eneo lolote la Tanganyika ni Vitakamili.
Wamesahau mwaka 1978;
Kile kipande kidogo cha ardhi kule Kagera kiliugharimu Utawala wa Iddi Amini.
Kitendo cha kudai eneo hata la sentimita moja ya mraba la Tanganyika ni kutangaza VITA,
na vita hiyo itawaondoa waarabu wote na mabwana zao huko zanzibar na kufanya nchi zima kuwa na status ya mkoa tu.
Ukoloni wa mwarabu hauwezi kurudi Zanzibar wala mahali pengine popote Tanzania.
Ile ya January 12, 1964 ilikuwa cha mtoto wa siku mbili.

Wadau nimepata taarifa kutoka Zanzibar, hali mbaya. Wazanzibari hawataki muungano kabisa, wametawanya mabango kila sehemu wakitangaza kwamba hawataki muungano.

Waarabu wa Omani ndio wanaosponsor harakati hizi ili muungano ukivunjika wajiunge na OIC harafu waarabu warudi tena.

Wanadai pia kwamba mipaka harisi ya Zanzibar inahusisha mile 40 za ukanda wa pwani ya Tanzania bara, kwahiyo muungano ukivunjika wanachukua babdari ya Mtwara, Dar na Tanga.

Nadhani itabidi muanze kuatafuta sehemu ya kujenga BOT, wazo la kuhamishia ofisi za serikali Dodoma linaweza likawa na mashiko balaa.

Zanzibar hali si shwari
 
Mimi naona bora ya hayo mabasha mashoga kuliko ushenzi na kutostarabika hadi kuwaua binadamu wenzio kama vile malbino kwa imani eti kuwa utatajirika kitu hiki hakifanyiki popote duniani isipokuwa bongo tu hi nikuonesha kuwa wabongo mpaka leo ni washamba tu wasokwenda na wakati. Shame on you.
 
Kwa hilo utasubiri sana hakuna Mzanzibari hatamoja atokuja kufanya kazi ya uhaus girl bara kama nyinyi mnavyofanya hivi sasa wakati hu huko Zanzibar kama ni mwanamke basi ni haus girl na mwaname kutumika sokoni, mashambani au ni kuosha magari tu wazanzibar hawafanyi upuzi hu kenge we.
 
wewe hata niaibu kuzungumza hata kiswahili hukijui. Babu we naona umelala nawala huamshiki Mungano ushavunjika bado kutiliana saini tu au unafikiri nyinyi wabongo mlitaka hu mchakato wa katiba babu shtuka amka and smell da coffee.
 
basi hata mimi ninayekaa hapa dsm ni mzanzibari, sasa wanataka kujitenga na nani sasa, si waache tu manake wazanzibari tupo wengi, wengine ni sisi wachaga ambao tumeweka viosk hapa dsm,na Tanga, wengine ni wapare waliohamia na kujenga kule mtwara etc.

SISI tulio ndani ya maili 40 ni Wazenji tayari. Wanaotaka kujitenga nao ni wa Tanganyika ndani! Haaahaaa
 
harooo!!! Generali Mwamunyange zamisha hako ka kisiwa haraka sana

hivi tunaweza rusha makombora ya masafa marefu toka Dodoma mpaka zenji
 
wadau nimepata taarifa kutoka zanzibar, hali mbaya. Wazanzibari hawataki muungano kabisa, wametawanya mabango kila sehemu wakitangaza kwamba hawataki muungano.

Waarabu wa omani ndio wanaosponsor harakati hizi ili muungano ukivunjika wajiunge na oic harafu waarabu warudi tena.

Wanadai pia kwamba mipaka harisi ya zanzibar inahusisha mile 40 za ukanda wa pwani ya tanzania bara, kwahiyo muungano ukivunjika wanachukua babdari ya mtwara, dar na tanga.

Nadhani itabidi muanze kuatafuta sehemu ya kujenga bot, wazo la kuhamishia ofisi za serikali dodoma linaweza likawa na mashiko balaa.

Zanzibar hali si shwari

hili lako ni shauri ya sunday school....hukufanya uwe karagosi...au mdoli...unasema yale uliyo ambiwa useme na sio akili yako inavotakiwa kufanya kazi
 
zenji magari yao mengi yameandikwa'muungano ni km koti,likikubana livue'........nachosema wabara walioko zenj wananyanyasika,so kwanza tunataka nyie wazenj mlioko bara muondoke tuone,km kweli hamtaki mhhngano!
 
Kwa hilo utasubiri sana hakuna Mzanzibari hatamoja atokuja kufanya kazi ya uhaus girl bara kama nyinyi mnavyofanya hivi sasa wakati hu huko Zanzibar kama ni mwanamke basi ni haus girl na mwaname kutumika sokoni, mashambani au ni kuosha magari tu wazanzibar hawafanyi upuzi hu kenge we.

Ww ndo kenge!km kweli hamtaki muungano,c muondoke huku bara + ndugu zenu,maana mmejaa huku?cc tunawashangaa mnapiga kelele,badala ya kumalizana na baadhi ya hao viongozi wa ccm wanaolea muungano!inshort under ccm muungano hamuwez kuuvunja kova atawapiga mabom mpaka mkome!....ss mrudi kwenu wote ndo tutajua mmedhamiria
 
Umewahi kuwa na mjomba kaka yake mama yako mzazi,
anavaa kanzu safi na uturi mzuri kilemba juu,
taksii zinapishana kumchukua na kumrudisha,
baadaye unanyaka kwamba kazi ya mjomba wako,
ni kukanyagwa na wanaume wenzie?
Tena viongozi, matajiri watu wa staha katika jamii?

Hebu fikiria mjoba wako anapapaswa na dume jingine?
huku kaubana mpini na wake unaning'inia tu?
halafu unasema bora nini????????

Wataliano wanakipenda kisiwa kile kwa hilo,

Haya vijana wadogo rijari nao,
Wanawauzia vibibi vigagula wazungu mipini yao,
wengine wanapigwa mshikaki vibibi viwli viwili,
pande za hukukwetu tunaiita Sandwich.

Wanaviuzia mipini yao vibibi hivi toka ulaya kwa ujira,
Vibibi vina vigonela vvya miaka sawa na umri wao?!?
sijui wanaanzaje kusimamisha mijengo yao?
sijui kwa kutamani jinsi ziivyo jaa makunyanzi?
sijui kwa sababu mademu size yao wanapigwa geti,
na kubakia kusagana wenyewe kwa wenyewe?
Au mademu bwelele mpaka waje Tanganyika?

Mimi naona bora ya hayo mabasha mashoga kuliko ushenzi na kutostarabika hadi kuwaua binadamu wenzio kama vile malbino kwa imani eti kuwa utatajirika kitu hiki hakifanyiki popote duniani isipokuwa bongo tu hi nikuonesha kuwa wabongo mpaka leo ni washamba tu wasokwenda na wakati. Shame on you.
 
Mimi naona bora ya hayo mabasha mashoga kuliko ushenzi na kutostarabika hadi kuwaua binadamu wenzio kama vile malbino kwa imani eti kuwa utatajirika kitu hiki hakifanyiki popote duniani isipokuwa bongo tu hi nikuonesha kuwa wabongo mpaka leo ni washamba tu wasokwenda na wakati. Shame on you.

Utaongea yote. Chukueni visiwa vyenu hakuna anayewahitaji - its very simple, pelekeni muswada Baraza lenu la Wawakilishi muuvunje muungano - mko huru. LAKINI, naruadia tena, LAKINI yodi moja wala nukta moja ya ardhi au maji ya Tanganyika hamtakaa myachukue. Hilo sahauni kama marehemu anavyosahau yote aliyokuwa nayo wakati wa uhai wake.
 
Back
Top Bottom