Jàmani Hali ya Corona nchini ikoje? Nasikia Hali ni tete

Corona ikiingia kwa nguvu tunayoambiwa hakutakuwa na haja hata ya lockdown.
Tutajipanga wenyewe bila hata kulazimishwa.

Kwa sasa tusitishane tuacheni tuendelee na maisha yetu ya kubangaiza kila siku.

HII NI VITA TUTAPAMBANA NAYO MPAKA PUMZI YA MWISHO, WATAKAOKUFA NA WAFE WATAKABAKI WATABAKI KAMA MASHAIDI KWA VIZAZI VIJAVYO.
 
Kwamba hamna haja ya tahadhari?

"WATAKAOKUFA NA WAFE WATAKABAKI WATABAKI KAMA MASHAIDI KWA VIZAZI VIJAVYO."

Roho ngumu na nadra kabisa binadamu kuwa nayo. Mko wachache kabisa mkuu bila kumsahau yule bwana.
 
Corona ikiingia kwa nguvu tunayoambiwa hakutakuwa na haja hata ya lockdown.
Tutajipanga wenyewe bila hata kulazimishwa.

Kwa sasa tusitishane tuacheni tuendelee na maisha yetu ya kubangaiza kila siku.

HII NI VITA TUTAPAMBANA NAYO MPAKA PUMZI YA MWISHO, WATAKAOKUFA NA WAFE WATAKABAKI WATABAKI KAMA MASHAIDI KWA VIZAZI VIJAVYO.
I second you
 
AGENT WA SHETANI WAPO KAZINI, WANAANZA KUTIA HOFU WANANCHI. KILA MCHA MUNGU WA KWELI ANAJUA HAYA KAZI ILIYOBAKIA NI KUKEMEA MAPEPO HAYA YANAYOSAMBAZA HABARI ZA KIPEPO..
Agent wa shetani ni wewe unayeendeleza ushenzi. Wa Jiwe
 
Tahadhari muhimu sana wandugu,haya mambo ya kupuuza mambo ya kitaaluma itaangamiza wengi.
Ligasi inatuponza sana,watu wamekuwa reluctant .
Mungu tunusuru.
 
Back
Top Bottom