Jamani habari zenu natafuta mtu wa Phamasist

Royk_47

Member
Jun 20, 2019
10
2
Kuna kazi ya kugawana ridhki kidogo ila mwenye DeGREE YA PHARMACIST...Anichek kwa namba hii 0719683009,only seriously one we can negotiation,make it business
 
Eleza Pharmacy iko wapi, ni retail au wholesale na dau lako kiasi gani nikupe mfamasia chap.
Kuna kazi ya kugawana ridhki kidogo ila mwenye DeGREE YA PHARMACIST...Anichek kwa namba hii 0719683009,only seriously one we can negotiation,make it business
 
Duuuh jamaa hauko serious asee, andika tangazo lako kiswahili kingereza hukiweza usije tutukana bure
 
Mtu wa pharmasist? Awe amesoma degree ya pharmasist?? Jamaa we ni kilaza sana aisee, sijapata ona
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom