Jamani foleni ya leo katika barabara ya Mandera kuja Ubungo.


M

Magita

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2013
Messages
309
Likes
88
Points
45
M

Magita

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2013
309 88 45
Tunaomba waziri wa uchukuzi kuwa malori yote yanayotumia barabara ya Mandera kwenda mikoani wakati jioni yaruhusiwe kuanzia saa4 usiku ili kupisha madaladala kusafirisha abiria kwa haraka, maana shida kubwa ya msongamano wa abiria vituoni ni kutokana na mabasi mengi kukatisha route zake wakati wa kuanzia jioni saa11 kutokana na foleni, mfano leo jioni yaa12.30 foleni ya ubungo ilitokea tabata relini.
 

Forum statistics

Threads 1,251,990
Members 481,948
Posts 29,792,398