Young Ezzo
New Member
- Nov 11, 2018
- 2
- 6
Nataka mujua kama ni kweli uchawi upo ili nijue nifanyeje 😂😂😂
ibadani unaenda kufanya niniNataka mujua kama ni kweli uchawi upo ili nijue nifanyeje
Haupo ungekuwepo kuna mtu anavyochukiwa huyo angekuwa hatunae au yuko hali tete!Nataka mujua kama ni kweli uchawi upo ili nijue nifanyeje
Huyo yuko full mass nondo, ndiyo mana toto penda anajimwambafy kwa kutoa kingaHaupo ungekuwepo kuna mtu anavyochukiwa huyo angekuwa hatunae au yuko hali tete!
Yeye mwenyewe mchawi mjukuu wa mwana MarundiHaupo ungekuwepo kuna mtu anavyochukiwa huyo angekuwa hatunae au yuko hali tete!
uchawi akunaNataka mujua kama ni kweli uchawi upo ili nijue nifanyeje à ½Ã¸à ½Ã¸à ½Ã¸
Afadhar tumeongezeka tusiokubali vitu vya kufikirika. Matatizo mengi ya binadam yapo katika namna yake ya kutafsir mambo. Nadhan hata uwepo wa Mungu ni nadharia ya ukomo wa kufikiri.Hakuna uchawi. N nadharia tu. Kama ilivyo dini
Kuna jamaa aliokoka na kumpokea Bwana . Alipomaliza degree yake alipangiwa kituo cha kuanzia kazi . Alikataa kata kata kwamba hakuna uchawi , badala ya kuripoti kazini alichukua breafcase yake na kuingia shambani eti anaijaza kahawa mbichi akakoboe . Mpaka leo hana mbele wala nyuma . Jibu langu " uchawi upo asilimia mia na moja "
Huyu alikuwa hajaokoka wokovu wa kwlei .Waliookoka huwa hawarogeki
Kwa muktadha huu, Basi huna mvuto wa kitu chochote, hata nyota yako haing'ai kabisa, achilia mbali kuwaka tu, imezima tokea tumboni mwa mzazi wako. nasema hivi mimi ni mchawi asilia!Me bado siamini kama upon