Jamani Eti Kweli NSSF Hamjaingiziwa Mshahara Msaada Tafadhali.

KIOO

JF-Expert Member
Mar 3, 2013
6,154
5,680
Kwanza heshima kwenu wakuu.

Well, hebu naomba kujuzwa kuhusu huo ukweli hapo juu wakuu.

Kuna mtu namdai ila ameniambia mpaka jana walikuwa hawajaingiziwa mshahara nikashangaa sana nikasema let me ask if this is true.

Najua wadau mpo humu naomba mnisaidie kufahamu kama ni kweli hilo suala au tayari mmeshaingiziwa tayari.

Nawasilisha.
 
Kwani ukisema ni wewe unafanya kazi huko umekuja kupima upepo humu kwani kuna shida gani Mkuu mpaka umsingizie MTU?
 
Sasa mkuu huniamini kama hatujaingiziwa mshahara hadi uje kunisemea uku?
Hahah sio wewe bhana mkuu. Huyo mtu hayupo humu ndani for sure aisee.

Nakudai kiasi gani kama ni wewe mkuu. Hahah.
 
Bado hawajaingiziwa!!! Si unajua Mzee kachukua fedha zote kujenga SGR!!
Kuwa mvumilivu atakulipa akikopa kwingine!!!
Mpaka akope kwengine mkuu. Coz nimeshangaa kwa shirika kubwa kama hili mpaka leo kuwa bado hawajavuta lazma utapata mashaka nikasema nihakiki mkuu.
 
Back
Top Bottom