jamani natumahi wale woteeeeeeeee tunaokutana leo nimewapigia cm kuwa reming plz kama kuna ambaye nimemsahau na ame ni PM no yake plz anikumbushe,mm binadam tena mwenye mapungufu meeeeeeeeeeeeengi,tusameheane.
Kuna nini hapa?
Kuna nini hapa?
Chrispin said:Location: At Any Bar Counter
jamani natumahi wale woteeeeeeeee tunaokutana leo nimewapigia cm kuwa reming plz kama kuna ambaye nimemsahau na ame ni PM no yake plz anikumbushe,mm binadam tena mwenye mapungufu meeeeeeeeeeeeengi,tusameheane.
makangeKuna nini hapa?
Ivi Kwann isiwe sisi?
PearlYesterday, 10:02 AM
Kwakeli nimependa sana wazo la kuchangia wahang,lkn kwanini sisi kama wana JF tusikutane leo jioni japo tuanze na mchango wa elfu 5 tu kwa kila mwanachama maana kutoa ni moyo tena ikumbukwe leo ni wao na kesho ni sisi,ni mtazamo wangu tu sijui mna maoni gani wenzangu.
asee unakumbuka hii kitu pale sinza kwa remmy???makange
mchemsho wa kuku na ng'ombe
chipsi mayai chipsi kavu
mabomu
kokoto
mbuzi chima
mbuzi foil
ng'ombe foil
mchemsho samaki
n.k
caunta kama kawaida:
local bia zote
kuna whiski zote
na wine
yap yap yap ebwanaeeeeeeeeeeeeh
karibu basi salenda sa 11.30
Nielekeze ilipo. Naruhusiwa kuja na waifu?club polisi kufanyani?watu kibaooooooooooo
...!Nielekeze ilipo. Naruhusiwa kuja na waifu?
...!