Jamani eeeh, wenzenu wameingia Disco

ngoja waje wakulambe na wewe siunawajua lakini baadae kidogo..mkuu mwajuma
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha, Mashehe bwana, ha ha ha ha ha,

Takbir

Tujaribu kutafautisha "Uarabu" na "Uislamu". Hiyo wanayocheza ni ngoma ya kienyeji ya Waarabu (ambao kuna Wakristo, Waislamu na Wayahudi). Mavazi waliyovaa ni mavazi asilia ya Kiarabu.
 
Tujaribu kutafautisha "Uarabu" na "Uislamu". Hiyo wanayocheza ni ngoma ya kienyeji ya Waarabu (ambao kuna Wakristo, Waislamu na Wayahudi). Mavazi waliyovaa ni mavazi asilia ya Kiarabu.

sawa kabisa ndugu Straddler ngoma hio ni katika utamaduni wao wao. haina uhusiano na dini ya kiislaam.
 
Uislam ni uarabu na Waarabu ni waislam.

... unang'ang'ania Bongo mno na weye.. hebu jaribu kutembea.. au walau kuuliza watu waliokwishafika nchi za "kiarabu" za Jordan, Syria, Lebanon, na Iraq......... IMGlargephotoArabChristians.jpg ....... Christian in Palestine holds a crucifix.jpg ...................... Hizi Dini wenyewe wako Middle East, sisi huku ni wavamizi tu. Na huko chokochoko hakuna. Wenyewe wanaazimana na chumvi.
 
leo nimecheka saaaana mi nilijua naangalia
ile ya pale migo traventine
mara naona kina yakheeee
asee nipo hoooi
 
Uislam ni uarabu na Waarabu ni waislam.

Usiwe mjinga hata unapoelimishwa kijana. Wewe ina maana hata hujui hiyo dini unayofuata asili yake ni wapi, loh!

Waarabu wako jamii ya waislamu na wakristo, na wote mavazi yao ni ya aina moja (kanzu, kilemba.....) kama huku kweetu wanavyovaa lubega, kanga, kaniki...
 
... unang'ang'ania Bongo mno na weye.. hebu jaribu kutembea.. au walau kuuliza watu waliokwishafika nchi za "kiarabu" za Jordan, Syria, Lebanon, na Iraq.........View attachment 37868.......View attachment 37869...................... Hizi Dini wenyewe wako Middle East, sisi huku ni wavamizi tu. Na huko chokochoko hakuna. Wenyewe wanaazimana na chumvi.

Ahh kumbe Palestina nchi ya Israeli.
 
Usiwe mjinga hata unapoelimishwa kijana. Wewe ina maana hata hujui hiyo dini unayofuata asili yake ni wapi, loh!

Waarabu wako jamii ya waislamu na wakristo, na wote mavazi yao ni ya aina moja (kanzu, kilemba.....) kama huku kweetu wanavyovaa lubega, kanga, kaniki...

Kwani mimi nafuata dini gani?
 
Ahh kumbe Palestina nchi ya Israeli.

Inaweza kuwa "Palestina nchi ya Israel" au "Israel nchi ya Palestina"............... Who cares? Certainly not me.!!!
Ya kwetu yanaelekea kutushinda, hayo ya Palestina na Israel tutayaweza wapi? Wanapigania ardhi hao, wakati sisi tumekazania kuuza ardhi kwa pesa kiduchu..!!!
 
Tujaribu kutafautisha "Uarabu" na "Uislamu". Hiyo wanayocheza ni ngoma ya kienyeji ya Waarabu (ambao kuna Wakristo, Waislamu na Wayahudi). Mavazi waliyovaa ni mavazi asilia ya Kiarabu.

Uarabu na Uislamu hautenganishwi!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom