JAMANI Eeeeeeh.....COSTECH NAOMBA PAHESHIMIWE........... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JAMANI Eeeeeeh.....COSTECH NAOMBA PAHESHIMIWE...........

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mirindimo, May 7, 2012.

 1. mirindimo

  mirindimo JF-Expert Member

  #1
  May 7, 2012
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 522
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 60
  Hivi sisi watanzania tutaendelea lini jamani,nawapongeza Tume ya sayansi na mawasiliano kuweka mazingira mazuri ya watu wa IT kufanya kazi zao,pia kuna access free ya internet wireless,sasa kuna hawa wabongo wanakuja na kuichezea mara wazime access point mara wa connect direct katika computer zao,yaani wamejisahau imewekwa pale itumike na watu wote wanaotumia ile innovation space naomba tuheshimu taratibu na mamlaka jamani tujiheshimu japo kidogo ......haya wanaconnect hivo uliza wanafanya nini....ni kudownload movies na wakimaliza on top of that wanaplay hapo hapo hizo movie wanaanza kuangalia pashageuzwa cinema show sasa.....hivi jamani tunakasoro gani sisi weusi?????????? Ujinga sisi,vita sisi, umaskini sisi.....hebu jamani endeleeni kidogo basi.....sawa sikatai wewe kuangalia movie vaa headphones basi sikiliza mwenyewe watu wanafanya kazi hapo........! Nawasilisha hebu tubadilike:director:
   
 2. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  na wewe ungefanya mabadiliko on the spot,sio wote wako JF,,play ur part
   
 3. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,741
  Likes Received: 1,748
  Trophy Points: 280
  kuingia humo inakuwaje nataka kiuja tembeleaaa
   
 4. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Me nadhan hiyo inaimarisha sys zaidi,kwani wakifanikiwa kuzuia sys inakua imara zaidi na wamiliki wanakua na utaalam zaidi. Hata nje ndo inakua hivyo mbona. Eg.Wamiliki wa FB wanawapa zawadi maprogrammer wao wanaoweza ku bypass their security sys ili wapate sys imara zaidi. Sioni tatizo sana.
   
 5. m

  mtanzania1989 JF-Expert Member

  #5
  May 8, 2012
  Joined: May 20, 2010
  Messages: 2,139
  Likes Received: 1,703
  Trophy Points: 280
  Mtoa hoja anamaanisha watu wanaochomoa connection ya access point na kuweka pc zao directly ili kupata speed kubwa ya internet ,wakati wenzao wakibaki hawana access ya internet, na wala sio ma hackers , ni wabinafsi tu
   
Loading...